mbayumbayu
Senior Member
- Jan 25, 2012
- 110
- 82
Nimefuatilia reporting ya tukio la upepo wa jana Arusha na maeneo kadhaa ya Kenya likiwemo jiji la Nairobi. TV za Tanzania zimeripoti kama social media.
TV za Kenya zimeenda mbali zaidi pamoja na kuwahoji wataalam wa Hali ya hewa kuelezea kilichotokea. Nimejiuliza vyombo vya kwetu vinashindwa vipi ku-balance habari zao?
Je, kuna gharama kubwa kufanya hivyo? Naomba kuelimishwa