Recent content by JAK

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza kuongeza sperm motility

    Kunywa kahawa kabla ya mechi.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

    Hizo ni changamoto za kawaida katika maisha. Naomba kukuuliza swali, umesema ulisoma bila mkopo, je ada na mahitaji mengine nani alikuwa anakulipia?.Hiyo pesa ya akiba uliipataje?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dada zetu wa kitanzania watuletea mbegu za kichina nchini

    Na bado, subiri watakao patikana wakati wa ujenzi wa bombs la mafuta kama watapewa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, anayefahamu hili kwenye CAS

    Profile yangu ina majina ya FIDEL JOSEPH WILLIAM ambayo sio ya kwangu, nifanyeje ili niandike ya kwangu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufika ofisi za NECTA

    Ukifika Ubungo standi ya mkoa chukua bodaboda akupeleke mawasiliano(standi ya daladala,nauli isiwe zaidi buku jero. Panda daladala inayokwenda Makumbusho, mwambie konda kuwa unashuka Bamaga, nauli ni mianne tu. Ukishuka Bamaga chukua bodaboda atakupeleka NECTA, nauli ni buku tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shule yazawadiwa Kinyago

    Labda hawajui kinamanisha nini,
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ajira za utumishi: Nimeona makontena matatu ya barua zakuomba kazi utumishi.

    Na tena bado yanaweza kuwa hata kumi maana mwisho wa kuziomba hizo kazi ni tarehe 19/08/2014.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila ajira ndo hakuna

    Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?

    Tafuta demu umgegede effectively walau mara mbili kwa wiki, utapona ugonjwa wako.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Fundisho kwa walimu

    Mkuu hivi serikali inaundwa na akina nani?
  11. J

    JamiiForums Tanzania serious nataka kujua elimu ya uganda iko vipi high school

    Kwa ubora iko chini ukilinganisha na Tanzania, kama hutaki kusoma Tz basi nenda Kenya.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunielekeza ntakavyofika makoa makuu ya chuo kikuu cha Bagamoyo

    Sina huakika kama kuna madarasa au la.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma Master of Arts, kama sikuisoma kwenye Bachelor?

    Inategemea ni degree ipi na unataka kusoma chuo ipi, ungefunguka zaidi
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunielekeza ntakavyofika makoa makuu ya chuo kikuu cha Bagamoyo

    Nilikisikia hivi karibuni kinaitwa Chuo kikuu cha Bagamoyo, makao yake makuu yako Mikocheni (Dar es Salaam). Nataka kufika ofisini kwao, niko Mwenge maeneo ya ITV, nimewauliza madereva wa Pikipiki na Bajaji hawapajui.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

    Kuwa na amani na upendo katika familia ni jambo jema, ukisha vipoteza gharama yake ni kubwa muno, husidhubutu kumkubalia.
Back
Top Bottom