hakuna jinsi,wacha aondoke tu,you must accept to loose so as to gain,ni lazima kurudi nyuma ili kwenda mbele kwa mshindo. ahsante dr slaa kwa utumishi wako uliotukuka na kukijenga kuwa chama bora,binafsi nakutakia kila kheri katika maisha mapya utakayoyachagua,kwa heri dr slaa,sisi tunaendelea...