Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Hapo hajaimba ule wimbo wake wa Alenselema?
Mwaka huu ayauimbia kwenye KUB
Hapo hajaimba ule wimbo wake wa Alenselema?
\Kuna misikiti mingi tu huko,inawezekana hao ni wa bakwata
mimi mgeni nchi hii hebu tuambiane huyo magufuli ndo nani.?
Mashehe UBWABWA!!! Teh!! Teh!!
Atawapeleka wapi?kupitia wapi?
tena kaa kimia na unafiki wenu kamwambie mzee wa mwembeyanga akusaidi kujua yaliyojiri siku hiyo,
\
uchuro huo wewe bingwa wa kukatwa sas hivi tunakata shingo jiandae,
Mmawia leo naona umeamua kuunganisha na night shift/overtime kabisa..unalipwa sh ngapi kwa saa?
Lazima wampokee kwa mbwembwe wameshatia chao mfukoni.
tena kaa kimia na unafiki wenu kamwambie mzee wa mwembeyanga akusaidi kujua yaliyojiri siku hiyo,
\
uchuro huo wewe bingwa wa kukatwa sas hivi tunakata shingo jiandae,
ccm mabingwa wa kukata noa kisu chenu kilele katilia mbali shetani mwenye tamaa ya kuingia nyumba ya mungu kwa mlango wa nyuma,
Mmawia leo naona umeamua kuunganisha na night shift/overtime kabisa..unalipwa sh ngapi kwa saa?
Mgombea Urais wa CCM ndugu JP Magufuri amepokelewa na kupewa baraka zote na wazee wa Chalinze. Aidha wameonyesha kuwa na imam kubwa ya kuweza kuwavusha na kuwapeleka kwenye uchumi wa kati.