Recent content by jaime

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Wewe ni hujui kitu katika swala la sheria,na pia hata ktk mambo ya kawaida ,inadhihirisha ni jinsi gani critical thinking kwako ni tusi. Nenda kaanze chekechea
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Mnafiki mkubwa wewe,toka lini ccm wakaitakia mema chadema? Kwa taarifa yako Mbowe hatumuondowi ng'o! maana ametuongezea idadi ya wabunge na kura za urais,maana yake ruzuku ndani ya chama imeongezeka.Nenda shule wewe japo upate kadigrii kamoja pumbavu.liamua kuitosa na kumpigia debe Magufuli...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    CCM oyee
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    Ndugu yangu, kabla ya kujuwa wapi alipo Sumaye unapaswa kwanza kujuwa wapi alipo baba yako mzazi,maana hili ni tatizo linalokusumbua kwa muda mrefu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    Kabla ya kujuwa alipo Sumaye unapaswa kwanza kujuwa alipo baba yako mzazi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    Kabla ya kujuwa alipo Sumaye unapaswa kujuwa kwanza alipo baba yako mzazi maana hiyo itakusaidia zaidi.u tumepiga kura sijawahi kumsikia akiongea chochote. Mwenye taarifa zake tafadhali aziweke hapa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

    Tumia akili wewe,hivi siri za serikali nani anazipeleka chadema?Tambua kuna watu ni wafanyakazi wa serikali lakini huchangia harakati za siasa za upinzani kwa siri sana.Namaanisha wanaofanya kazi nyeti za chama huwa hawajionyeshi hadharani.Acha ujinga wewe!!wa ni mtu mnene na msomi kwenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wazee Mwang'onda na Hassy Kitine waasisi wa TISS imara Tanzania

    Hujuwi unachoongea,Lowasa mwenyewe pia ni mtu wa tiss.Acha ujinga wewe ! tumia critical thinking.neja wa Mamvi hahahah Maji hata uyachemshe vipi hayasahau kurudi kwny asili yake ya ubaridi Mzee Ngoyai alisahau kuwa usalama wa Taifa hawastaafu bali wanastaafu kuamka asubuhi na kwenda ofisini daily
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Watanzania hatutaki maneno wala mbwembwe,Rais mwaka 2010 alimnadi Lowasa huko Monduli kuwa ni mtu safi bali alipata ajali ya kisiasa,sasa iweje leo asema si msafi? Na kama hivyo ndivyo kwanini hakuchukuwa hatua za kisheria? uwajibikaji hapo upo wapi? sasa kwa sisi wataalam wa saikolojia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Wewe maggid haiwezekani ukasema kuwa Mbowe Mgwila wanachochea vurugu,hiyo siyo kweli bali serikali ndiyo inataka kuvuruga amani kwakukiuka sheria ya uchaguzi isemayo mtu akishapiga kura akae mita miambili. Sasa kama lengo lilikuwa kudumisha amani wangefuta kwanza sheria hiyo ndipo waseme kuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu ya dr. Magufuri kumkataa Nape na Nchimbi katika kampeni zake.

    Hao wote(ccm)wamepoteza mwelekeo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Acha ujinga, wewe unatoka familia ya maskini wa pesa na akili ndiyo maana unashangaa fredy Lowasa kuwa tajiri. yye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi. Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

    Hivi kumbe mtu akiiba akiwa ndani ya ccm analindwa! ila akitoka anashitakiwa. Kwa hili ni dhahiri ccm inamfumo wa kifisadi,maana lowasa hakuchukuliwa hatua yoyote mara baada ya tukio,bali alisafishwa na raisi.Hapa ni chadema tu. kimasomaso kumshitaki Lowassa.[/SIZE][/QUOT
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    UWEZO WA KUFIKIRI: Mtu yeyote anayemshabikia dr.slaa badala ya kuangalia mafanikio mapana ya chama na taifa kwa ujumla ni dhahiri ni mamuluki wa ccm au uwezo wake wa kufiri ni mdogo. Lengo la chama cha siasa ni kushika dola na si vinginevyo.Sasa kati ya slaa na lowasa ni yupi mwenye wafuasi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kampeni kupitia simu kwa ujumbe wa UNATUACHAJE!

    ccm ni janga la kitaifa: Hivi sasa haya majamaa yana haha kutuma ujumbe ktk simu za watu ili kukipamba chama chao. Ukweli ccm wameshindwa kusoma alama za nyakati,maana asilimia kubwa ya watanzania hivi sasa hawafanyi mambo kimapokeo tena! bali hufanya kiyakinifu zaidi. Kwaheri ccm...
Back
Top Bottom