Recent content by jail

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

    Acheni siasa za ukanda sisi watanzania ni wamoja
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sijakuelewa hapa unapotaka Kushauri na Kuamrisha kuwa Jina la Wafungwa libadilishwe na sasa wawe wanaitwa Wanafunzi

    MWACHE MAMA YETU AFANYE KAZI YA KUIFUNGUA NCHI MBONA MTANGULIZI NAYE ALISEMAGA WASTAFU WANAWASHWA PIA WAMESABABISHA MATATIZO ANAYOSUMBUKA NAYO.MAMENO YAPO NA DAWA YAKE KUYASEMA NDO NAFSI HUTULIA WEWE YANAWEZA KUKUKERA ILA WENGINE WANAFURAHI NANI ASISEMWE NA BINADAMU YESU MWENYEWE ALISEMWA...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

    Ndugu Muombe Mungu kila asubuhi unapoanza biashara Mungu ndiye Muweza yote kama watu wanatumia mashetani kuleta mvuta katika biashara wewe mtumie Mungu muumba mbingu na ardhi atakusaidia sana jua biashara ni imani imani yako ipo wapi ? Mwamini Mungu utaniambia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Ni dalili za kurudi kwa Yesu kuchukua waliomwamini lazima injili imfikie kila mtu hata kama hupendi lazima usikie ili siku ya hukumu usije lalamika sikusikia ndo mabango hayo kero lakini umeelewa kuna mkutano nenda kasikilize yatakusaidia sana ingawaje yanakukera kwa sasa ipo siku utatakumbuka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    Hatari
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

    Mheshimia Rais wetu anafanya kazi nzuri sana tuzidi kumuombea Mungu amfanikishe yale aliyodhamiria kuyafanya ktk nchi hii nyie mnao laumu kila jambo fanyeni kazi mama ndiye Raisi wetu Mungu wa mbinguni amemuweka ikulu kwa makusudi ataongoza atakuja mwingine jukumu letu ni kumuomba Mungu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asiwabembeleze Polisi kwenye suala la uonevu kwa Wananchi

    Kweli kabisa raia wanaonewa kwa kesi za kubambiki mfano kusingizia raia kufanya fujo kituoni hii hali ni hatari sana kwa ustawi wa taifa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

    Aliweza kwa sababu alipunguza wafanyakazi kwa issue ya vyeti,pia alibana matumizi kwa kuzuia safari za nje na ndani,alizuia semina na posho,pia aliwashushia mishahara wenye mishahara zaidi ya 15m pia alizuia ongezeko la mishahara kila mwaka ,alikusanya gawio kwa mashirika ndo maana aliweza
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Pole port wamekusikia
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

    666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
  11. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Ni shaka na hii biashara inabidi kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kununua
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu, napitia mtihani mkubwa nahisi mbele utakuwa mkubwa zaidi

    DOCTOR BINGWA BINGWA WA HAYO NI YESU UTARATIBU WAKE NI KUMWAMINI NA KUMKIRI KWA KINYWA CHAKO KISHA UTAMWAMBIA TATIZO ATAPONA BILA WEWE KUTOA HELA.HUDUMA YAKE NI BURE ILA UMWAMINI NA KUACHA DHAMBI
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hekima; Ufunguo halisi wa mafanikio

    Asante
Back
Top Bottom