Recent content by jah burn dem

  1. J

    Top Burundi judge flees country in dramatic twist to crisis

    Mahakama ni serikali tawala na mtawala ni nkurunzinza liwalo na liwe,subiri mziki wa kina rwasa na wafuasi wake, yaani ni kutia kiberiti kwenye tanki la petroli,tusubiri tuone
  2. J

    Vurugu Burundi: Polisi wapambana na waandamanaji wanaopinga Nkurunzinza kugombea Urais tena

    Chama chetu cha mapinduzi kidumu milele,chama chetu fdd kisonge mbere,chama chetu cha rpf kitawale milele viva ccmccmccmccmccm viva rpf viva fdd
  3. J

    Burundi hatarini kurudi vitani

    Atatoka tu kuna kina rwasa,buyoya,wote wanaconection na jeshi hakuna cha uhutu wala utusi next president wa burundi atakuwa muhutu.mchezo utakuwa hivi kesi itaenda mahakamani na mahakama itamruhusu kugombea kwa sababu mahakama ni serikali tawala na yeye ndiye mtawala.hapo ndipo kinanuka you wait...
  4. J

    Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Siasa ni usanii ka usanii mwingine tu, 99.9 of all mothefucking politicians in the world mind their fuckin pockets first ni rahisi kwenye nchi zetu za kimasikini. Fool few poor people you will get your vote and poor does not have to be financial kuna matajiri but akili zao za kimasikini.imagine...
  5. J

    Tanzanians curb South African rioters

    tanzanians defending their territory in south africa using guns and curbs,hatuna huo ubavu sisi kazi yetu ni kujificha na kutumia mdomo wetu kiujanjaujanja tukiwaona wanakuja tunatimka kama wapinzani wa ccm wakiwaona FFU.wala tusiombe hata sikumoja kuanzisha ugomvi na wazawa wa kizazi cha...
  6. J

    Wakenya wavamia Tanzania

    Kitu kimoja nimekigundua some of us tnazanians ni waoga sana lazima tujifunze ushindani na tujiamini mbona wahindi na warabu kibao tu wanapasipoti za kibongo kiirani kipakistan whats wrong with another brother coming to your country, tusipoangalia tutakuwa wapumbavu kama wasauzi
  7. J

    Natafuta msichana umri miaka 20 mpaka 28, not very materialistic kama wa bongo movie

    acha mzaha bana life is bigger than wali na kuku
  8. J

    Natafuta msichana umri miaka 20 mpaka 28, not very materialistic kama wa bongo movie

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 niliondoka tanzania nikiwa bado sijafikisha miaka ishirini so sijawa sana na uhusiano na wasichana wa nyumbani kwa muda wa zaidi ya miaka kumi na mbili. Uhusiano niliozoea ni wa wanawake wa Kizungu inshort sijawahi kula K ya Kiafrika toka nimetoka...
  9. J

    Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

    to be colonized for too long can turn you into a complete twat.hata sisi wabongo tumetawaliwa sana na ccm ndio maana sisi wapumbavu tofauti yetu ni kwamba atuchomi watu moto
  10. J

    Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    Nchi yangu hakuna kisichowezakana mbele ya mkoloni ccm,good examples ntu anaua siku ya kesi anaingilia mlango anoingilia hakimu na anashinda kesi, watu wanaiba pesa ikulu inawaambia wazirudishe kidogokidogo,wananchi wakilalamika sana wanaletewa skendo kuna babu anatibu ukimwi wanasahau mchezo...
Back
Top Bottom