Akiri kama hizi ndizo zilinifanya mimi na familia yangu tuichukie sana Ccm.Siwezi kushirikiana na mbaguzi au mdini,nisawa na mchawi.Hii dhambi itawatafuna mpaka vizazi vyenu.Wewe kwa akiri zako fupi unaona kila anayepinga uhuni kama wa Ccm inaofanya'basi ni Mchagga au Chadema?.Hata huyo Mchagga hii nchi sio yake?.Nakusikitikia sana kwa kukosa akili japo hata za mbuzi
Africa ina utaratibu wao wa kutawala kuna makabila ambayo hayatakiwi kutawala kabisaa !! Wakiwemo chagadema!! Hii habari ya wazungu kutufundisha kutawala ni upuuzi mkubwa Africa.nenda uingereza mtawala ni malkia lini amepigiwa kura !!!??? Itabaki hivyo milele !!! Hiyo ndiyo demokrasia ???Uhuru wa demokrasia uko wapi!!?? Leo hii hao waingereza wametapakaa Africa na Tanzania eti wanafatilia Uhuru wa demokrasia !!!! Upuuzi kabisa!!!!
Atatoka tu kuna kina rwasa,buyoya,wote wanaconection na jeshi hakuna cha uhutu wala utusi next president wa burundi atakuwa muhutu.mchezo utakuwa hivi kesi itaenda mahakamani na mahakama itamruhusu kugombea kwa sababu mahakama ni serikali tawala na yeye ndiye mtawala.hapo ndipo kinanuka you wait and see
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.