Recent content by Jagina

  1. J

    JamiiForums Tanzania Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

    tafsiri ya eunuch ni hii hapa , A eunuch is a boy or man who has been castrated, meaning his testicles or external genitals were removed or destroyed. [1, 2, 3] Sorry mimi siongelei jino kwa jino, wala mambo ya kuzini. Hayo yote Bwana Yesu alisema Mathayo 5:17-18 (Swahili Union Version)...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Umeninukulia 1 Yohana 4:1–3, lakini bado hujajibu swali nililokuuliza. Biblia yako inasema “msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho.” Sawa. Basi swali ni hili: hizo roho ni zipi, na mnazijuaje? Umenijibu kwamba roho inayokiri Yesu Kristo amekuja katika mwili ni ya Mungu, na isiyomkiri...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Biblia yako yenyewe inakiri uwepo wa viumbe wa rohoni: “Kushindana kwetu si juu ya damu na nyama, bali juu ya… majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” — Waefeso 6:12. Kwa hiyo kabla hujawaita Waislamu waalike majini jukwaani, kwanza eleza kwa Biblia yako hao pepo wabaya ni nani. Na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Ameshinda kitu gani? Kesi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kiitifaki Makamu Wa Rais Anapaswa Kuzungumza Kama Makamu wa Rais Na Siyo Kama Rais Kamili. Ni Andiko Nililokuwa nataka Kulitoa Wakati Balozi Nchimbi

    Kwa wezi walioiba madaraka ya nchi hamna kitu kigumu. Ni kuondowana na kuwekana Kama chapati kwenye sahani
  6. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Nani kasema jibu linatakiwa liwe fupi? Ulifunguwa link ukakuta jibu refu ? Sisi wajibu wétu kufikisha ujumbe , kukubali au kukataa ni uamuzi wako. Kila mtu atabeba mzigo wake. Sawa ukija kutushika mashati siku ya hesabu tulishapata sababu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Nani kasema jibu linatakiwa liwe fupi? Ulifunguwa link ukakuta jibu refu ? Sisi wajibu wetu kufikisha ujumbe , kukubali au kukataa ni uamuzi wako. Kila mtu atabeba mzigo wake.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    wewe unataka ubishi , hutafuti elimu . Huko serious. Unafikiri kila kitu tunaangalia AI . Kwanza AI ina makosa mengi ya kutafsiri Quran wachilia mbali kwenye kiarabu cha dini. hapo kwenye link kuna swali hilo hilo na kama unataka majibu ungalifunguwa link . Ni kiswahili pia
  9. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Maana Ya Kumswalia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) | Alhidaaya.com
  10. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    kwani wewe unashindwa kitu gani ?? Maana Ya Kumswalia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) | Alhidaaya.com
  11. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Wewe baki na kitabu chako unachokipenda na kukifuata
  12. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    Mtume ﷺ amesema: “Atakayeniswalia mara moja, Allah atamswalia mara kumi, atamfutia madhambi kumi na atamuinulia daraja kumi.” Maana yake ni kwamba kumswalia Mtume ﷺ, kama kusema “Allahumma salli ‘ala Muhammad”, ni ibada yenye thawabu kubwa. Allah humlipa mwenye kufanya hivyo kwa rehema...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nchi za ughaibuni zinaweza kukufanya ushindwe kuwa na mwanamke au kupata mtoto

    Ulaya kuna nchi nchi , nchi gani hiyo ?? Serbia, Montenegro, Macedonia , Greece, Romania, Bosnia and Herzogovina nk???ipi ?? maana hata tabia za wanawake ziko tofauti
  14. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

    AI inaharibu uwezo wako wewe wa kujibu hoja
Back
Top Bottom