Kaka yng kaza roho jua kila nafsi itarudi kwa muumba wake. Mm mwaka 2015 mwezi wa 3 mama yng aliaga dunia kibaya zaid nilkuwa nje ya nchi kabla ya kuondoka kwenda nje nlkuwa naishi nae nlmuuguza mpaka alpopona kbsa nkasafiri baadae alfarki nikiwa sipo, najua maumivu yake ila kuwa Mwanaume sasa...
Hamna taratibu zozote nyinyi ni jipu..UBENANI(Vikindu)..mwaka huu nguzo tano kutuletea ili baadhi ya nyumba ziwake umeme hamtaki kweli Mwenye nyumba kafa tambeni tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.