Nini hasa chanzo cha kumpiga? Kama kweli ni mwanajeshi basi kazi ipo kwa hao polisi na wataiona dunia chungu sana lakini kama hakuwa mwanajeshi basi kipondo atapata kikali zaidi ya hapo .
Kazi yao ni kula pesa maana majimboni kwao kuna matatizo lukuki lakini hawaendi huko kusikiliza kero. Jakaya awafukuze waende majimboni sio kukaa Dom na Dar bila kazi.
Kwa nini waue hao ng'ombe kikatili hivyo? Ina maana walishindwa kumshitaki mwenye ng'ombe? Ama ni hasira baada ya jamaa kukataa kutoa hongo? Ama kweli hii ni hatari sana.
Wachaga kama wale wa machame wanawake huua wanaume wao ili mali iwabakie. Wachaga wanajua sana pesa hata mtoto mdogo ni balaa hawa watu maana hawana mchezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.