Nini Majukumu ya Mbunge kwa wapiga kura wake?

Walau Malolle anajitahidi coz barabara zote za mjini na mitaa ya pembezoni mwa mji zimetengenezwa kwa kiwango cha lami
 
Nusu ya barabara za k'koo gerezani ni vumbi na madimbwi kwa sasa, .........

natamani nimjue Diwani tu maana mbunge huyo yuko bize na wahindi wakachangie chama tawala
 
Bado anakusanya alizotoa wakati wakampeni,mwakani ndio ataanza kwa ajili ya kampeni.
 
Walau Malolle anajitahidi coz barabara zote za mjini na mitaa ya pembezoni mwa mji zimetengenezwa kwa kiwango cha lami

Hujui kitu.mpango huo si wake ni WB bwanaa.Hivi unafikiri malole angekuwa anauwezo wa kufanya hayo ANGEANZISHA ISHU YA KISANII akishirikiana na KEAR ya KUWADANGANYA WANA DODOMA WENYE UFAULU WA DIV 4 YA 30-33 WAKASOME KOZI YA KOMPYUTA KTK SHULE YAKE HALAFU ETI WAKAWE WALIMU WA TEHAMA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI Bila hata KUTAFAKARI ATHARI ya JAMBO HILO?
 
mada ya msingi sana hii hata nami nmekuwa nikijiulza mara kwa mara.. pasipo kupata majibu mujarabu.
Hasa baada ya siku kumsikia mbunge wa Rorya Bilionea Lameck Airo akisema kuwa yeye haongei bungeni lakini jimbo lake vitu vinaonekana..
Lakini hao wanaongea sana hawana lolote walilofanya majimboni mwao. Na hapa alimtolea mfano Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje, baada ya kufuatilia kwa watu waliopo huko Rorya nikaambiwa jamaa ni mtu wa kumwaga sana pesa kwenye miradi ya maendeleo na shughuli mbalimbali za kijamii......

Kwenye pitapita zangu nikakutana na mada hii.. wakuu naomba kusaidieni kujua hasa majukumu ya wabunge wetu.
cc Mzee Mwanakijiji Pasco Nguruvi3 Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Remote
Kuna tatizo la kujua majukumu ya Mbunge. Nina uhakika hata wao hawajui majukumu yao. Kwa ufupi Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi mbali mbali kuanzia jimbo, wilaya au mkoa. Kwa upande mwingine ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi ya taifa ambayo ni Bunge.

Mbunge si mtendaji kikazi. Kazi yake ni coordination ya haja za wananchi na maamuzi yatakayoathiri wananchi wa eneo lake. Ni mfuatiliaji wa maamuzi yanayohusu wananchi wake katika ngazi za jimbo hadi taifa.

Si kazi ya mbunge kutoa pesa za shughuli za maendeleo kwasababu hana fungu.

Mbunge anapaswa kuangalia mafungu yaliyopo au kujenga hoja za kutafutwa fungu kwa haja ya kutimiza malengo mengine yenye ulazima na umuhimu.

Fungu la pesa za mbunge linalotolewa sasa hivi ni hongo tu halina maana yoyote.

Ni njia ya kumuongezea mbunge kipato. Fungu hilo halina audit na anayepaswa kuamua nani apate nini ni mbunge, kinyume na utawala bora.

Kujenga shule n.k kwa pesa zao ni hongo tu, hilo si jukumu lao.

Jukumu lao ni pamoja na kuangalia usalama na ustawi wa jamii zao.

Jiulize kuna sababu gani za kujenga shule wakati wafugaji na wakulima wanapigana. Mbunge amefanya nini kuhakikisha usalama wao.

Concern ya mbunge siku zote ni kuhakikisha kunakuwepo na mawasiliano ya uhakika na vyombo vingine akiwa kama ‘go between’ na si kumwaga pesa.

Kwa nchi za wenzetu imefika mahali ofisi ya mbunge inasikiliza matatizo ya mtu mmoja mmoja ambayo ynahitaji msaada mkubwa (siyo kugawa pesa za chakula )

Mfano, mbunge anafuatilia kwanini mpiga kura wake amenyimwa haki ABCD au hakutendewa EFG na kwamba hilo ni tatizo la mfumo, watu au kitaifa.

Kama ni kitaifa mbunge atalifikisha bungeni kujadiliwa. Endapo ni mfumo wahusika watawajibika n.k.

Endapo kuna anayedhani kazi ya mbunge ni kutoa mipesa au misaada, sasa wale wa kuteuliwa na vyama au Rais wana kazi gani. Watatoa misaada wapi.
Kazi ya mbunge ni uwakilishi kwa ukubwa na upana wake, ngazi ya jimbo hadi taifa

Last edited by a moderator:
Upo sawasawa huwa namshangaa kusikia heti mbunge kaleta maendeleo kajenga shule barabara zanati ujinga mtupu na majungu ukimuwangalia mbunge hata gorofa hana hiyo barabara atajengaje nyambafu
 
nadhani katiba mpya iwe open ktk hili
 
asante kwa maoni yenu... Ila katika hili we have to make sure kwamba katiba mpya ioneshe wazi majukumu y mbunge na sio hivi sasa inapoonekana kuwa sifa ya kuwa mbunge lazima uwe na ukwasi wa kutosha, ili kuweza kumwaga mapesa jimboni na sio kuwa coordinators wa mahitaji ya jamii.

Na tusiojirekebisha au kuweka hili suala clear nchi yetu itazidi kudidimia, kwakuwa chombo chetu kikubwa cha uwakilishi wamejaa watu wasiofikiri na kuwa nA maono chanya juu ya taifa, kwa kuwa na uwezo kwa kupanga mikakati mbalimbali ya maendeleo na jinsi gani ya ku'utilize resources tulizonazo for the betterment ya jamii yoote.

Zaidi jamii yetu inapaswa ipewe elimu ya kutosha juu ya yupi anafaa kuwa mwakilishi, kwa kuangalia uwezo wake waku'cordinator mahitaji/shida za wananchi. Pamoja nayo kupitisha miswaada ya msingi na yenye tija kwa taifa...

Pia wabunge wetu mfano kina DEWJI, LA KAIRO, LOWASA etc wanaojisifia kutokuwa wachangiaji bungeni n the same time kwamba wao ni wachangiaji sana wa maendeleo kwa pesa binafsi... Hakika wanatakiwa kupewa ilmu kubwa sana.
cc Mkandara Jasusi
 
Last edited by a moderator:
naskia wengi wanasema ni kuwasilisha matatizo ya wananchi wake bungeni/serikalini ....sasa hebu naomba kujuzwa wabunge wengi wanaishi dar wanajuaje matatizo ya wananchi wao?.,sioni haja ya kua na mbunge na wakuu wa mikoa na wilaya wanatosha
 
Kazi yao ni kula pesa maana majimboni kwao kuna matatizo lukuki lakini hawaendi huko kusikiliza kero. Jakaya awafukuze waende majimboni sio kukaa Dom na Dar bila kazi.
 
naskia wengi wanasema ni kuwasilisha matatizo ya wananchi wake bungeni/serikalini ....sasa hebu naomba kujuzwa wabunge wengi wanaishi dar wanajuaje matatizo ya wananchi wao?.,sioni haja ya kua na mbunge na wakuu wa mikoa na wilaya wanatosha

Kazi yao kubwa ni kurogana na kuhonga machangu kila kukicha.
 
Wabunge wana hizi sifa.Ushirikina. Usinzi. Kusinsia na wengine kama Komba kulala bungeni. Kupokea
mshahara bila kufanya kazi. Kuzomea ovyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom