Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,965
- 858,952
Uchaguzi wa Afrika Kusini ni kesho, ambapo umeanza leo kwa watu wazima na wasiojiweza kupiga kura zao, rais Zhuma anagombea kwa kipindi cha pili na cha mwisho kwa mujibu wa katiba! Anajiamini kuwa atashinda kwa kishido tunasubiri kwa hamu kuona kama kweli maneno yake yatatimia kwasababu licha ya changamoto nyingi za kiuchumi, kimaisha usalama nk lakini wengi wanaona afrika kusini chini yake imezidi kupoteza ile hadhi na heshima yake kimataifa