Recent content by Jadide khamis

  1. J

    Evarist Chahali, hili limenitisha!

    Hii ni hatari
  2. J

    Haya ndiyo yaliyotendeka Uganda katika bikini car wash festival

    AMA kwel dunia imekwishaaa!!!!
  3. J

    Nani alimtuma Issa Shivji The Professor?

    Kwa jambo hili pro: shivji cwez kumuelewa, Serikali mbili imeshadumu Kwa zaid ya miaka 50 lkn cha kushangaza ni kwamba kadri cku zinasonga mbele na muungano unazid kwenda mrama, hamuon Km ipo haja ya kutafuta njia mbadala? Km znzbr hawataki muungano why Serikali Kuu inang'ang'ania? Inaonyesha...
  4. J

    Nani alimtuma Issa Shivji The Professor?

    Shivji angetoa mawazo mbadala wa Serikali mbili, Kwa sababu Serikali mbili ndio imedumu Kwa zaid ya miaka 50 bt imeshindwa kuimarisha muungano, mpk sasa muungano unakaribia kuvunjika, namuheshim sn prof: shivji, ila Kwa jambo hili atakuwa amekwenda tofauti na fikra za watanzania Wengi.
  5. J

    Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Ni bora hata alivyokosa chance kuingia mjengon, ubongo wake sawa na wa bata, ukimgusA kichwan anakufa, kuanzia Leo nimemdharau nape kuliko chochote, apelekwe milembe wakampime brain.
  6. J

    Mgomo wa Simu Utafeli...

    Hongera mwanakijiji Kwa hoja zako zenye uzani, hawa ccm wamechanganyikiwa sio bure, muda wote wanawaza kutukandamiza wananchi wa kipato cha chini, mijitu haina aibu, wala huruma, dawa na tembo kuomba abebwe mgongoni na sisimizi, ccm Wana laana kutoka Kwa muasisi wao kambarage!!
  7. J

    kinyumbani zaidi

    Mi naomba abinuke hata sasa hv!! Shwain.
  8. J

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Inasokitidha kiongozi wa umma kurespond mambo Km haya, Idd Azzan mbunge wa kinondon ww ni balaa!!!
  9. J

    Hivi mabasi ya wafungwa yana milango/vioo vya dharura?

    We iba ukienda kule ndio utajua, humu wote raia!!
  10. J

    RAIA MWEMA: Ya ‘Papii Kocha’ na tweets za Nyalandu, Januari, Kikwete!

    Nyie mnaofanya mzaha nawaombea yawakute matatizo zaid ya haya, nipo pamoja na mtoa mada, mungu awasaidie wawexr kutoka ili tujumuike nao.
  11. J

    Hashim "dogo" v/s salu T

    Ñmbmbf hii Kali, ila salu t nae Kwa mistari ni nouma!!
  12. J

    Mashabiki wamponda wema sepetu baada ya kuyaanika matiti yake mtandaoni

    Kama amethubutu kuwa na mahusiano na wanaume Torsten zaid ya 70 mnashangaa nn kuonyesha matiti Yale? Kwa ukijipanga sio matiti Tu, hata ukitaka kuona vile vyenyewe unaonyeshwa, yupo kibiashara zaid, we kalabaho!!!
  13. J

    Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    Wote mna afadhali Mimi cjui Km mbunge yu hai au mungu kashamchukua, maana toka alivyopata ubunge kimazabe cjamuona jimbon kwetu, kuna jamaa yng mmoja aliniambia cku moja amemkuta nyantare anakula monde, jimbo letu sasa hv ndoo ya maji tunanunua tsh500, karibun jimbon kwetu segerea, kiwanja cha...
Back
Top Bottom