Recent content by Jacs

  1. J

    Msaada wa ku-unlock Huawei modem

    Plz activation code za window 7 home primium naombeni mnisaidie.tafadhari
  2. J

    Unlock simu yako iweze kutumia line zote

    Jamani naomba mnisaidie key code za ku activate window 7 home primium. Plz wakuu
  3. J

    Wanaume amkeni acheni kulalama

    Mara nyingi watu hamuwez kulingana kipato,basi kama mwanamke anacho zaidi na amsaidie mwanaume lkn si kwa kuhonga au kunywea pombe bali kwa mambo yenye tija.
  4. J

    Je! unawezaje kupata Paid applications za Play store Bure ?

    Niliambiwa kuwa kuna namna ya kutumia application inayouzwa kwenye play store for free, kama kuna anaejua atupie maujanja humu.
  5. J

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    One among the few in Africa!
  6. J

    All huawei modem unlock firmware collection is here

    Mkuu nisaidie modem yangu ni safaricom E303 IMEI 868988014139692 Nahitaji ku-unlock
  7. J

    Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

    Utafanyika kituo gani na saa ngapi?huo sio wa kukosa@zamlock
  8. J

    Finally Huawei E303 unlocked

    Jamani wataalam naombeni mnisaidie namna ya ku-unlock modem yangu ya huawei E303 safaricom.pliiiz wakuu.najua wapo wajanja wa hv vitu.asante
  9. J

    Finally Huawei E303 unlocked

    Jamani wataalam naombeni mnisaidie namna ya ku-unlock modem yangu ya huawei E303 safaricom.pliiiz wakuu.najua wapo wajanja wa hv vitu.asante
  10. J

    Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

    tuambie nyalandu kachemka nn!
  11. J

    Pigo la Pili kwa Lowassa, bado la Tatu na la Mwisho!

    hv mbona mna hofu sana na lowasa,siku zote mpinzani mwenye uwezo ndie anaye hofiwa,inamaana lowasa amewazidi kiasi hicho! basi jipangeni kwa hoja sio majungu.majungu yenu ndio yanampandisha chati zaidi coz kila siku mnafanya kazi ya kumtangaza kwenye media.
  12. J

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    jamani watanzania wenzangu tumeambiwa tutoe maoni yetu,ama Zito ama Dr. Slaa,haya mambo ya kupambanisha dini siyo mada hapa,hebu tusiukuze udini,toa sababu zako za msingi tu.kama waelewa mtakua mmeelewa,kama ndo wale wa ngumbalo haya...
  13. J

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Napenda viongozi wangu wa CDM wakalisemee hili:WAALIMU wanapelekwa vijijini kwenye shule za kata lakini inapofika mwalimu huyu anataka kwenda likizo anaambiwa atalipwa kwa viwango vya SUMATRA na ikumbukwe sumatra hawajapanga viwango vya kwenda na kutoka kwenye vijiji,na unakuta nauli ya kutoka...
  14. J

    Happy birthday Hon. Mwigulu L. Nchemba: Hizi ni salamu zangu kwako!

    CDM hawahitaji kuogopwa na m2,kazi yao kubwa waliyotumwa na Mungu na walalahoi wa nchi hii ni kutetea maslahi ya wananchi wao na kutoa hoja zenye mashiko,angalia kijana bungeni sio Darlive pakushuhudia taarabu zenye vijembe.
Back
Top Bottom