Recent content by Jacobs urio

  1. J

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia

    shida Ni kuwa hatutaki kuwa Na union against new colonialism in Africa.. Bado tunawaona wazungu Ni Kama mungu kutokana Na ufinyu WA mawazo yetu.. Yes mawazo Na mitazamo.. Kama Cole kaandika Na kasema Ni group of volunteers kwa nini tunambishia..!! Tufungue macho guys.. Tatizo kubwa vijana wengi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Ni kweli nimemsikia Msigwa akizungumza Na Clouds Fm
  3. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya ziara ya kushtukiza ujenzi uwanja wa ndege na kukuta kazi zimelala

    Rais Magufuli katangaza yeye ndo atakayekuwa consultant WA mradi huo... Mmmhhh..watafutwe ma engineers wazalendo 3 watakaofanya kazi atakazosema yeye..
  4. J

    JamiiForums Tanzania Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini?

    Waishi bila kutegemea sadaka..bwahahahaaaa..
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kadiri muda ulivyosogea ndivyo wakosoaji wa Magufuli walivyozidi kuongezeka

    Sidhani Kama Ni muda sahihi WA kuanza kumlaumu raia kwa kila mambo..ina maana yeye Ni mwendawazimu hawezi wala hajui kuongoza nchi..?sidhani Kama Ni sahihi kumstress kiongozi WA nchi..uhuru tulio nao tusiutumie vibaya kiasi cha kurudisha nyuma maendeleo..ndani ya mwaka mmoja mnataka miujiza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lissu: Asiyefanya kazi na asile

    Na watu WA level hii ndo makino kuliko wenye degree au phd..wanatendea kazi level yao kwa ufasaha mkubwa..
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara ndogondogo Ubungo wachoma daraja la Ubungo moto

    Mtoa mada bhana...daraja linaunguaje??sema wamechoma tairi darajani..sio daraja limechomwa Moto..hii mpya..
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta Facebook, Sitamani Nawewe Yakukute..!!

    Wengi wamedunywa Sana FB
  9. J

    JamiiForums Tanzania Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

    hahahahaaaaaa..Dangeriiii
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ambao mmeshahakikiwa vyeti: Tupeni desa la mchakato wa zoezi hilo

    Wa wanaohakiki nani kawahakiki?wengine nao Ni shida hawana vyeti halisi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Atheism: Imani nusu na robo

  12. J

    JamiiForums Tanzania Atheism: Imani nusu na robo

    Kwani lazima kumlaum mtu au kitu chochote ??
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dunia ilitokea by chance

    H Hapo sasa namimi najiuliza
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii pekee ipo Rwanda

  15. J

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Hood lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Arusha

    Kwa hiyo trafic anauhusiano gani na hiyo ajali..wangechomoa tairi Ili gari isimame isigonge au..
Back
Top Bottom