Recent content by jacksonyy

  1. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

    Shukrani kiongozi
  2. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

    Mkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
  3. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda CX 5

    Naipenda sana hii gari japo bongo sizioni. Wajuzi wa hizi kazi hii gari inachangamoto gani? Hasa hizi za (2012 - 2016)
  4. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu haya huashiria mwanamke uliyemtongoza amekubali

    Hapo unamwambia mambo ya X na Y intercept[emoji28] ukisolve kwa Y, x =0
  5. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Mimi pia nina Tatizo kama hilo last month nimepima nina damu 19 but naendelea na tizi mdomdo
  6. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nina udomo zege usiopimika

    Anza naye stori za corona then hamia kwenye ligi kuu[emoji28] mpaka hapo marekani hii hapa na maandamano them malizia na mahusiano
  7. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

    Wahenga walisema ukiamua kula haramu Basi tafuta iliyonona[emoji28][emoji28]hiyo haramu imenona maana 30k kila siku sio mchezo
  8. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Kiongozi ulaaniwe kwa pumba hizi
  9. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Siitafuti mali by Tumaini shangilieni Arusha
  10. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Nazani mwaka huu itachelewa sababu ya Corona ila hua inafanyika march au April kila Mwaka.
  11. jacksonyy

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Niliuziwa hii kitu fake kwa 50k japo nasikia kibongo inauzwa kama 200k ipo good kama ukibahatisha Og yake
  12. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond apewe ushauri nasaha vinginevyo ataishia kuwa kama Ivan

    Tumekusikia team Zari
  13. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

    Chukua time yako mkuu
  14. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

    Kuna makampuni yanatengeneza pedi za Wanaume nilisikia somewhere BF SUMA wanazo japo sijajua zinatumikaje na nyakati gani🤷‍♂️
  15. jacksonyy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za mwanamke wa kigogo

    Mkuu kama unampango huo sijui unaoa familia ipi maana zinatofautiana but generally; 1. Walalamikaji sana 2. Kila jambo wanaona wanaonewa 3. Wanapenda kuleta ndugu zao walipoolewa 4. Bwana yesu asifiwe zimejaa midomoni mwao but hua hawamaanishi hivyo 5. Wanapenda fair sana so uwe makini
Back
Top Bottom