Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ BAK wewe mchawi umekula tunda langu tamu ila please! Usitoe ushuhuda kwenye ule uzi yaishie huku huku uraiani. Ukitoa ushuhuda NITAKUCHUKIA MILELE na sitaongea nawe tena 🀣🀣🀣

Jaribu tuone Kama utaweza,
Ukiweza nakuruhusu katoe ushuhuda kwenye uzi wenu[emoji23]
 
Anza naye stori za corona then hamia kwenye ligi kuu[emoji28] mpaka hapo marekani hii hapa na maandamano them malizia na mahusiano
 
Back
Top Bottom