Nina umri wa miaka 30,niko dar, niliishia form 3, kwa ukosefu wa karo, nahitaji kazi itakayoniwezesha kuendesha maisha Yangu
Naweza kusikia kiingereza vizuri na kukiandika japo kuongea kinanisumbua, ila najitahidi kiasi,
Naweza kutumia compyuta,
Kwa yoyote atakaegusha na hili na kuhitaji...