assadsyri2]
1. MH ZITO anaonekana ni threat kwani ameonyeha nia ya kuwaniaa nafasi mbalimbali katika chama, kuna baadhi ya viongozi hawapendi challenge na sijui kama wanajua maana ya demokrasia mfano kuthibitisha haya ni pale wazee walipomshauri zito ajitoe na amwache mbowe peke yake hii...
kuna kitu myuma ya pazia kat zito mchange na ben.nawashauli fungen mjadal hum kweny jf kwa sabab haukisaidi chama,kama kuna mtu ana malalamiko afuate utaratib.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.