Recent content by jackline

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Wanyayangilo sio wahaya?? Dharau sio nzuri
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

    Hakuna uzee hapo jide alikuwa 25 na gadner 32 wakati wanaoana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

    Atatangulizaje uzalendo wakati anakufa kwa njaa kama analipwa 10000 na nauli tu ni 14000.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Gari imeibiwa ikiwa na mtoto mdogo ndani yake maeneo ya Mbezi

    Mungu awasaidie mtoto apatikane
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyoweza kukuondosha kirahisi kabisa

    Ni hadithi nzuri ila ujumbe umewafikia wale wapigaji
  6. J

    JamiiForums Tanzania Watu 14 wa Kundi la Taifa jipya, wakamatwa na jeshi la polisi

    Hawa ni watoto wanaotakiwa kuwa shule jamani . Mungu atusaidie
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    Mpoto hana uwezo wa kumshinda mnyika.Mnyika yuko smart na anafaa kwenye jimbo letu
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri

    Mi naona huyo bwana ana mtu pembeni kwanini anakuzuia kufikia kwake mpaka mfunge ndoa wakati nshapata mtoto?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hodi jmn wanajf.

    Unaondoa sana herufi katika maneno yako
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hodi jmn wanajf.

    Karibu sana ila rekebisha staili ya uandishi wako
  11. J

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    Haaaa...Eti walimu vijana
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kingereza ni kigumu kweli

    Hahaaa..tunauza matunda,juice na fruits
  13. J

    JamiiForums Tanzania Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

    Mimi wananibore kweli
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom ni wezi sana yaani hiyo cheka bombastic kifurushi muda wa maongezi umepunguzwa lakini hela ya manunuzi ni Ile ile.Kinachoniudhi kupitia kiasi ni mb yaani ukiangalia video hata sek 30 unaambiwa kifurushi cha mb kimeisha yaani mnakera sana.Pia wahudumu wa voda ni wezi na matapeli kama...
Back
Top Bottom