NIPO HAPA:
Kama unamhitaji mwalimu mzuri wa masomo ya ENGLISH LANGUAGE na KISWAHILI (Structure+Literature)
Pia masomo ya HISTORY, CIVICS + GENERAL STUDIES (G.S), SOCIAL STUDIES (SST) na I.T.
NIPO HAPA: Pia kama utanihitaji kama mwalimu binafsi wa KOZI YA KIINGEREZA (ENGLISH COURSE).
NIPO...
Hi ndugu,
Naambiwa sana na kusoma simulizi kuwa mganga wa kienyeji anaweza kumuwezesha mtu kupata utajiri. Utajiri tena wa pesa taslimu (CASH) noti tupu. Kwamba unaenda kwa mganga na ukitoka tayari unazo, unatoka na maburungutu ya kutosha kwenye mfuko (begi).
NAOMBA anayejua anijuze kwamba JE...
Maana ya DJ ni "Disc Jockey" yaani msababisha mziki kwa kuchezesha kisahani (disc) cha santuli. sasa wanaotembea na milaptop et ni maDJ hamna kitu hapo!
Habari, pole na majukumu.
Bado ninatafuta mke. Kama upo tayari kuyaanza maisha ya mume na mke kwa sasa. Sina vigezo vigumu vya kushinda mtu, bali tuchache twa kawaida sana.
Wasiliana nami kwa 0623 605 405 muda wowote tufahamiane na tujue cha kufanya.
NB: UWE SERIOUS 100% sitasoma replies...
KWA ALIYE SERIOUS 100%
A: KUHUSU MIMI
DINI: MKIRISTO
KIMO: Mrefu wa kadri
RANGI: Maji ya kunde
ELIMU: Degree
KAZI: Sijaajiriwa
NDOA: Sijawahi kuoa
MTOTO: Sina
UMRI: 34
MAKAZI: Kagera
Mengine tutaelezana
NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.