Hakuna sehemu nimeona raha,ni kwamba namuonea huruma mwananchi ambaye ,Hana silaha, Hana pingu,hana mamlaka, Hamiliki mahabusu.
Hapo tegemea watu kufa,watu kupotea bila sababu,pamoja na watu wengi kuswekwa selo bila ushahidi.
Inawezekana waliofanya hayo ni kikundi cha watu wachache,lakini...