Anataka kutujengea viwanda baada ya utawala gani kuviua na kugawa kama pipi viwanda vilivyoachwa na Mwalimu? Unadanganyika kujengewa viwanda wkt umeme bado tatizo kuu so ivyo viwanda vitatumia power bank au?
Jaman wakuu embu naomba meelezo japo kidogo kuhusiana na Membe na pesa ya Gadafi maana naiskiaga bt sijapata picha kamaili! Najua sipo mahali pake bt naomba kujuzwa
Kuwashindanisha hao jamaa co fair coz ni generation tofauti bt tukiongelea kushika 4 abt 4 yrz now joh kashika mfululizo n jamaa yko vzt ingawa fid bado atabaki ni kaka kwa joh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.