Recent content by Jaboja

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Na asilete vitisho, ye nani?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

    Mimi nimeenda kwenye suluhisho kipindi hiki ambacho serikali haijaboresha huo usafir, nafikaje nyumbani? Sijaikataza kuboresha miundo mbinu, Bali Ili niwe salama natumia njia mbadala Ili ikibotesha usafir niwe Niko salama. Na si vinginevyo, na uelewe hata huo usafir wa imma si Kila mtu anaumudu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

    Wewe si mwislamu? Ongea wewe, soma uislamu kwanza halafu uusemee, acha kuropoka, uislamu haufuati Wanavyofanya dini nyingine Bali kama unavyosema uislamu, uislamu unakataza mabaya yote na tunasikia wanakataza, kuua, kuzini, kunywa pombe, kamar, riba, uongo, dhuluma, wizi, na mengineyo, nenda...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

    Kwa Sasa usafir hivi, zidisha 2000 kwenye bajeti Yako ya usafir panda daladala mpaka shekilango, chukua pikipiki mpaka kibo 2,000, apite pembeni ya lami, ukifika hapo Ingia mwendokasi, sababu Kila gar ikitoka Ima Morocco au kkoo, au kivukoni inaanza kushusha hapo na unaondoka faster kabisa...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Ili iwe sawa na kule nyumbani unakoacha pesa bila kuulizwa hakuna mteremko wanasema
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    Wewe si salafi na hutowapata masalafi labda salafi jina si manhaj na imeisha, halafu we salafi mwenyezimungu ni nani?
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Mkumbuke Muumba wako kwani siku za kifo zinakuja huko ni Ana kwa ana na Allah je utamjibu nini? Unafanya Kisha unahamasisha kabisa, muogope Muumba wako.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwongo wake umemponza

    Ni wewe so mimi
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwongo wake umemponza

    Sawa kabisa Dada zetu kama hatujawaangalia kwa ukaribu ndo kuharibika kunapoanzia, dada mpuuzi aachwe na mambo yake, na aliye na matatizo ya kweli tumsaidie, kwani si wote wanaigiza, hicho ndicho ninachokusudia mkuu, Ishi na dada zako wajivunie Wana kaka Yao, ikiwa wewe humthamini aliyekutana...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwongo wake umemponza

    Dada yangu atabaki dada yangu yaliyobaki ni ya kwako
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwongo wake umemponza

    Yaani hata awe dada yangu, hapa umekosea labda wewe mpaka achinjwe huyo dada Ako ndo Ujue ana nyanyaswa, ukipata taarifa za dada Ako fuatilia na chunguza ukweli utaujua, kipomo Cha kwanza kwangu dada yangu kwenda kwa Mwanamme bila ndoa hapo na Mimi tumemalizana, na tayar amekuwa kiruka njia...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Kwa taarifa Yako vitu vyote vya nyumbani huharibuwa na watoto, je wangebamizana wakauwana ungepata nguvu ya kiwachapa? Wafundishe gar kwa upendo kabisa, waelekeze hatar yake, wape waendeshe ukiwa nao, waweke karibu na wewe, funguo ya gar haifichwi Bali unatembea nayo, na mengi yafuate, molioni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wema huishia kujitolea kupita kiasi, kuchukuliwa poa na kubaki maskini wakati wanafanya kazi sana?

    Wapi uliskia mwema Kawa tajir? Sababu ni 1 maskini hawaishi, 2 Pesa zao ni za Halali, 3 hawadhulumu wengine nk
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

    Sawa mkuu
Back
Top Bottom