Yaani hata awe dada yangu, hapa umekosea labda wewe mpaka achinjwe huyo dada Ako ndo Ujue ana nyanyaswa, ukipata taarifa za dada Ako fuatilia na chunguza ukweli utaujua, kipomo Cha kwanza kwangu dada yangu kwenda kwa Mwanamme bila ndoa hapo na Mimi tumemalizana, na tayar amekuwa kiruka njia simwelewi na kwetu haijawahi tokea, Ima ameolewa au Yuko nyumbani over.Mkuu umri wako tafdhari?
Mwanamke hata akija kwako analia machozi ya damu hata kama awe dada yako ati anaonewa na mme wale usisadiki!
Umechelewa sana kufahamu hilo wewe kula milo yote pita hivi
Siraha ya mwanamke hwa ni kulia kwa maigizo ili umuonee huruma. Hayo yaliyobaki ni ya kwakoYaani hata awe dada yangu, hapa umekosea labda wewe mpaka achinjwe huyo dada Ako ndo Ujue ana nyanyaswa, ukipata taarifa za dada Ako fuatilia na chunguza ukweli utaujua, kipomo Cha kwanza kwangu dada yangu kwenda kwa Mwanamme bila ndoa hapo na Mimi tumemalizana, na tayar amekuwa kiruka njia simwelewi na kwetu haijawahi tokea, Ima ameolewa au Yuko nyumbani over.
Chakukwambia kuwa makini usije otewa utapakwa mafuta historia Yako ibadilikeWakuu #noreformsnoelection
Kuna mdada mmoja nilikutana naye maeneo ya kazini nikamuelewa nikarisha ndoano akatick baadaye sana nilikuja gundua ni mke wa mtu kwa maelezo yake mumewe hakai wilaya tuliyopo yupo wilaya nyingne kutoka hapa tulipo mpaka huko alipo ni masaa matatu.
Alinambia bwana ake anafanya kazi kwenye ujenzi wa mabarabara huwa anarudi mara moja moja sn anaweza maliza hata miezi 6 hajaridi
Lakini alinambia ni kama huyo bwana ake ana mwanamke mwingine huko aliko anakofanya kazi na amepanga chumba huko hataki huyu mkewe aendeko ila matumiz anatoa na kodi analipa.
Nimekuwa nikimsaidia baadhi ya mambo kama mahitaji ya nyumbani kama ataniomba lakini kiasi cha fedha akiwa na shida.
Nilionana naye akiwa anajifunza mambo ya saloon sasa alinigusia baadhi ya changamoto zake bnafs na kwa mumewe kuhusu yeye binafsi ni yatima hana wazazi na anatamani apate mtaji wa kufungua saloon yake ili angalau ajikumu maisha kwani huyo mumewe anamnyanyasa sana hataki hata aende kwao wasalamia na mbaya zaidi jamaa hajalipa mahari, na hajawahi mpeleka kwao yaani kwao na mwanaume huyu mdada hajulikani ni sogea tukae tu na mwamba hana mpango huo kwa mujibu wa huyu dada.
Kilichonishtua siku moja aliniambia simu yake inasumbua akaniletea kazini hapa nikaanza mrekebishia nikaingia kwny sms eeeeh si nikakuta wanachart na huyo bwana ake wanabebishana huyu mwanamke anamwambia kamiss mboo yake nk ingawa pia kuna baadhi ya sms jamaa alikuwa anamtukana huyu dada na kumdhalilisha
Huyu dada alikuwa ananiambia hawez kabisa chart na huyo bwana ake zaidi ya salamu hakuna kingne na hataki kumuona na hana hisia naye nilipoona sms za kubebishana sjataka mwambia chochote ila kuna mambo nilitaka msaidia mwezi ujao kumnunulia baadhi ya vifaa vya saloon na kumlipia pango la kufungulia saloon sa kwasababu amekuwa akinidanganya nimeamua kuhairisha jambo hilo na nina mpango kumuita na kumwambia amwambie huyo bwana ake ampe mtaji mi siwez tena.
NB: Nilichojifunza aisee kama una mkeo sehemu tofauti na unakofanyia kazi ujue atatiwa tu hata awe mgumu kiasi gn atapigwa tu hakuna namna
Pia nimegundua hawa single maza hawa na hawa ambao waume zao wako mbali nao ni waongo sn si wa kuwaonea huruma ni waongo.
Sasa wakuu mnanishauri nini kuhusu uamuzi wangu nipo sawa au siko sawa 🤔
Dada yangu atabaki dada yangu yaliyobaki ni ya kwakoSiraha ya mwanamke hwa ni kulia kwa maigizo ili umuonee huruma. Hayo yaliyobaki ni ya kwako
Vile hata sisi dada tunao mkuuDada yangu atabaki dada yangu yaliyobaki ni ya kwako
Sawa kabisa Dada zetu kama hatujawaangalia kwa ukaribu ndo kuharibika kunapoanzia, dada mpuuzi aachwe na mambo yake, na aliye na matatizo ya kweli tumsaidie, kwani si wote wanaigiza, hicho ndicho ninachokusudia mkuu, Ishi na dada zako wajivunie Wana kaka Yao, ikiwa wewe humthamini aliyekutana naye hana bikira atamthamini?Vile hata sisi dada tunao mkuu
Rudi kwenye comment ya kwanza urudie kusoma Tena.Sawa kabisa Dada zetu kama hatujawaangalia kwa ukaribu ndo kuharibika kunapoanzia, dada mpuuzi aachwe na mambo yake, na aliye na matatizo ya kweli tumsaidie, kwani si wote wanaigiza, hicho ndicho ninachokusudia mkuu, Ishi na dada zako wajivunie Wana kaka Yao, ikiwa wewe humthamini aliyekutana naye hana bikira atamthamini?
Ni wewe so mimiRudi kwenye comment ya kwanza urudie kusoma Tena.
Mwanamke hata akiwa dada Yako akija Analia machozi ya damu usimuamini.
Sikia mkuu mwanamke sio kwamba hawezi kuelezea shida yake bila kulia la hasha badala yake huja Kwa kulia kama siraha/ushawishi wa wewe mwanaume kumuona huruma kana kwamba anachokisema ni ukweli 100%
Mwanamke anajua wazi akilia basi utalivhukulia serious sana hata kama ni uongo.
Sasa kabla hujatoa maamzi kisa amakuja Analia fanya utafiti wa kina Kisha toa maamzi sahihi sio kisa Amelia sana basi kaonewa la hasha!! USIAMINI KILIO HICHO.
Mkuu dada zangu wanajivunia mno uwepo wangu. Nikiwa form4 tu nilimpiga shemeji Kwa kosa la kumpiga dada
Miaka2 tu iliyopita nimemlaza shemeji siku1 kituoni Kwa kosa la kumpiga sister (mdogo wangu) akiwa Bado na kidonda Cha operation (upasuaji Wakati anajifungua)
Kwahayo yote lakini Huwa hawaji kwangu kesi za kipuuzi maana ubao kumgeukia ni dk0 tu Huwa hawaji kabisa kabisa nitaishia kusikia tu .