Recent content by jabir chilumba

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki hii ninatoka dar kuelekea arusha, lengo kutafuta mke wa kuoa

    Vp waliyemwondoa kidude
  2. J

    JamiiForums Tanzania Inatisha: Jamaa afadhili wauaji wa mke wake, baadaye akutana na mke wake akiwa hai!!!

    Wanawake ndiyo sana, kwa wanaume inatokea mara chache hasa kwa nchi zenye rabsha kama hizo. Kama unataka yakukute tafuta naye pesa alafu mwanamke afahamu mipango yako! UNAKUFA MAPEMAAAAA...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na juice hizi jamani{ Juice za Azam}

    Hatari sana, hakuna usalama kabisa kwa namna hii.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chuki juu ya Waislam imeisha!

    Dada Rosemary, nimeshangaa sana kusikia umeokoka lkn unamchukia binaadamu mwenzio kwasababu ya dini yake. Unasahau kuwa muumba ni mmoja na silaha kubwa ya dini ni upendo kwa watu wote bila kuangalia dini,rangi,kipato au Utaifa. Watu waliokosa upendo kama ww na kusema wameokoka naomba Allah...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhamia Mbeya, najisikia uchovu isivyo kawaida, tatizo ni nini?

    Tatizo unakula sana chakula kizito na unalala maana huko misosi kibao lkn pia fanya mazoezi. Agiza mlupo uje ushugulike nao uone kama utachoka asubuhi. Papuchi za huko moto ndg yangu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ndumba za uchawi na namna ya kupingana nazo

    Ndg yangu kama una dawa ya kugandisha mwanga au jini au awe kichaa kabisa awe anaongea njiani huku akisema anaomba msamaha hata loga tena. Maana kuna mama mmoja hapa jirani kila ucku anakuja kuzunguka nyumba yetu na tunamwona. Amejaribu Mara kibao lkn anashindwa sasa nimeona apewe fundisho. Yy...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    Hiki ni kipindi cha mpito, pesa zinakuja kwa kufanya kazi, walificha fedha ebu waweke kwenye mzunguko.Wapiga deal ebu watafute njia nyingine rahisi za kuishi. CCM OYEE
  8. J

    JamiiForums Tanzania NANI anataka tutukanane?

    Usitake ncheke
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Iringa halisi na watu wake

    Mkuu Barbarosa umetembelea miji mingapi ya Tz, Mbona iringa kama kisarawe tu cjaona kinachokuvutia ww pamoja kuwa ni mji mkongwe, tughorofa twenyewe tunajengwa sasa. Ukifika stand watu/vijana wamelewa tu
Back
Top Bottom