Chuki juu ya Waislam imeisha!

Chuki juu ya Waislam imeisha!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
Wapendwa katika Bwana,
namshukuru Mungu wa Mbinguni muumba wa Mbingu na Dunia kwa kunifunulia hili,
Mimi ni mkristo nimeokoka na natamani sana sana kuingia mbinguni,tatizo langu kubwa kabisa ambalo lilikuwa kikwazo kikubwa kwa maisha yangu ya wokovu ni chuki kubwa iliyokuwa ndani yangu dhidi ya Waislam
Tumeandaa mkutano mkubwa wa injili hapa korogwe tanga na muhubiri anaitwa Vicky Kyoma kutoka Mbeya,
Kwa kweli wapendwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuwa karibu na waislm,
Kama mjuavyo mkoa wa tanga una waisla. Wengi,kwanza niliposhirikishwa kushiriki kazi hii ya kwenda tanga sikupenda kwa kuwa nilijua naenda Kule kwa watu nisiowapenda kabisa,
Mkutano umeanza jumatatu hadi jumapili hii kwa kweli mungu ametumia mkutano huu kuleta mabadiliko katika maisha yangu na nimepiga hatua moja mbele jambo ambalo sikutegemea
Katika mkutano huu wameokoka zaidi ya watu mia moja kwa week nzima kwa kweli asilimia kubwa ya watu themanini ni waislam na waliobaki wanatoka Roma
Nimeshangaa sana
Sikujua kama hawa watu wanaweza kumtii kristo yesu na kuamini,nilikuwa na chuki ya bure na waislam kwa sababu ya IMAni waliyo nayo, wote themanini walikuwa na mapepo waliombewa na kufunguliwa na jumapili wamesimama kanisani na kutoa ushuhuda uliofanya watu wengi kutoa machozi
Namshukuru sana mungu kunionyesha hili,mpendwa Wangu katika kristo neno linasema mungu anaweza kuinua Mawe yakamsifu,simama sasa kwenye wokovu kwa kuwa anatenda kaxzi tofauti na tulivyofikri,jiandae na safari ya mbinguni kumbuka hakuna kinyonge kitaingia
 
Ahsante kwa taarifa.....hapo sasa kazi kwa waumini...
 
Wokovu halafu ulimchukia mtu wa imani tofauti? Huo sio wokovu.
 
Hayo mapepo mtakuwa mmewaambukiza nyie.Maana Walokole mnatembea na mapepo mifukoni.Na hao mliowapa wokovu bandia si Wakatoliki
 
kama ulikuwa na chuki ungijitia dole unuse chuki na binadam wenzio zingeisha
 
Dada Rosemary, nimeshangaa sana kusikia umeokoka lkn unamchukia binaadamu mwenzio kwasababu ya dini yake. Unasahau kuwa muumba ni mmoja na silaha kubwa ya dini ni upendo kwa watu wote bila kuangalia dini,rangi,kipato au Utaifa. Watu waliokosa upendo kama ww na kusema wameokoka naomba Allah awaondolee fikra hizo Mbaya.
 
Back
Top Bottom