Recent content by j_Aizivaishe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dubwasha hili bado lipo; Rais Magufuli hili litakuaibisha mbele ya wageni...

    kuna uchafu na uchakavu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    piga kazi Mhe. Rais tunaokuombea ni wengi zaidi ya wanaokutukana. #tutaelewana tu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania kwa Mazungumzo na kuangalia hali ya kisiasa nchini

    Kwanza habari hapo kubwa ni Waziri wa...... Sweden akutana na .......
  4. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    alikua anatutolea kilio cha kinafki tu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    Sawa naona unatusimulia uzoefu wako baada ya kutekwa/kujiteka 😂
  6. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    😂😂😂😂😂 izo ni dramas
  7. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    Hapo tumia logic tu. Jk alishasema akili za kuambiwa changanya na zako #achaunyumbu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    kwanza kama anajiamini sana mbona analia lia saiv, machozi yenyewe hayatoki
  9. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    kwanza alisema kaomba maji mara ishakuwa soda na biskuti. alafu mtu akizima anafungwa pingu na kupigwa kisa nini??? Jamaa anatusimulia series then anajaribu kutuongopea kuwa ni siasa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari (TPA): Bandari ya Bagamoyo ingefilisi na kuuza nchi

    ndo maana mradi ulisimama tangu awamu ya 4
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Jamaa karuka ruka interview nzima Then kasema upinzani ikichukua serikali wataruhusu ushoga.o_O
  12. J

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kitafiti na uchambuzi za intelligence unit(Uingereza) na Fitch solutions(Marekan: kwa nini Magufuli atashinda awamu yake ya pili kiurahisi?

    upinzani hamna kitu kazi yao kudandia mada kila siku mtandaoni wakati Serikali iko bize kufanya mambo makubwa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania.

    Mtaendekea kuwadangsnya watanzania wajinga wa mtandaoni lakini mtakapokwenda kwenye ground kwa wananchi i bet mtapata tabu...huko kwenye uhalisia wa maisha ndipo watu wanaona madawa yameongezeka hospitalini, barabara zimejengwa, madaraja na huduma mbalimbali za kijamiii...huko ndipo mtapata aibu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Wanajaribu kulipakaa matope taifa letu kwa nguvu sana, hadi kumuondoa Balozi wao na kusingizia amefukuzwa. Ni vema wananchi tufumbue macho kutazama hizi siasa za kimataifa zinavyoenda baada ya kuwapiga pini katika mianya yao ya kutunyonya.
  15. J

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Salaam wazazi wenzangu! Nina imani wengi hadi wakati huu Tumeona na kusoma azimio liliotolewa na Bunge la Ulaya. Kiini cha azimio hilo ikichagiza ushoga. Serikali ya awamu ya tano inapokuwa ngangali katika kukemea jambo hili, ndio wanaamua kutoa vitisho kuitingisha serikali endapo ushoga...
Back
Top Bottom