Taasisi za kitafiti na uchambuzi za intelligence unit(Uingereza) na Fitch solutions(Marekan: kwa nini Magufuli atashinda awamu yake ya pili kiurahisi?

Shigganza

Senior Member
May 24, 2018
158
500
Taasisi mashuhuru na za kuaminika duniani zinazajishughulisha na masuala ya utafiti na uchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa ya economist intelligence unit ya nchini Uingereza na Fitch solutions ya Marekani kupitia tafti zake kuelekea uchaguzi mkuu 2020 yamebaini kwamba Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli atashinda uchaguzi huo kwa urahisi huku vyama vya upinzani vikifanya vibaya mno. "CCM will continue to dominate the domestic political landscape while benefiting from a weakining opposition, as shown by the defection to CCM of several opposition members of parliament "

Miongoni mwa sababu zilizotajwa kusababisha Rais Magufuli kushinda kiurahisi uchaguzi huo ni pamoja na CCM kuwa ni chama kilicho na muundo mzuri ulioenea na kuungwa mkono hadi vijijin, mapambano dhidi ya rushwa pamoja na mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yaliyotekelezwa na Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza.

Kutokana na credibility ya taasisi hizo kimataifa pamoja na mambo ambayo Rais ameyafanya yanayoonekana kwa macho Kama ununzi wa ndege kubwa na za kati za kisasa, ujenzi wa SGR, elimu bure, kupambana na ufisadi, kuongeza bajeti ya dawa za binadamu, kusambaza umeme vijijini kupitia REA Kama mtanzania nisiendeshwa kwa mihemko ya kivyama nashawishika kuamini ubashiri wa EIU na Fitch solutions ni wa kweli na utatimia 2020.
IMG_1317.JPG
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,890
2,000
Taasisi mashuhuru na za kuaminika duniani zinazajishughulisha na masuala ya utafiti na uchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa ya economist intelligence unit la nchini Uingereza na Fitch solutions la Marekani kupitia tafti zake kuelekea uchaguzi mkuu 2020 yamebaini kwamba Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli atashinda uchaguzi huo kwa urahisi huku vyama vya upinzani vikifanya vibaya mno. "CCM will continue to dominate the domestic political landscape while benefiting from a weakining opposition, as shown by the defection to CCM of several opposition members of parliament "

Miongoni mwa sababu zilizotajwa kusababisha Rais Magufuli kushinda kiurahisi uchaguzi huo ni pamoja na CCM kuwa ni chama kilicho na muundo mzuri ulioenea na kuungwa mkono hadi vijijin, mapambano dhidi ya rushwa pamoja na mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yaliyotekelezwa na Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza.

Kutokana na credibility ya taasisi hizo kimataifa pamoja na mambo ambayo Rais ameyafanya yanayoonekana kwa macho Kama ununzi wa ndege kubwa na za kati za kisasa, ujenzi wa SGR, elimu bure, kupambana na ufisadi, kuongeza bajeti ya dawa za binadamu, kusambaza umeme vijijini kupitia REA Kama mtanzania nisiendeshwa kwa mihemko ya kivyama nashawishika kuamini ubashiri wa EIU na Fitch solutions ni wa kweli na utatimia 2020. View attachment 990021
Utafiti wakati matokeo ya najulikana hata kwa mtoto mdogo..... wambie watafute thesis ya utafiti nyingine sio hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
37,593
2,000
Wajiulize ni kwanini anahangaika na muswaada wa kutaka kuua vyama vya upinzani ndio watapata jibu.

Wamuulize pia kama yuko teyari kukubali Tume huru.
 
Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
3,244
2,000
Kwa NEC hii na polisi hawa kwan nani hajui Magufuli atashinda?
It doesn't stop opposition to get organised. It would take ages for opposition to win if the current status quo doesn't change.
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,475
2,000
Taasisi mashuhuru na za kuaminika duniani zinazajishughulisha na masuala ya utafiti na uchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa ya economist intelligence unit la nchini Uingereza na Fitch solutions la Marekani kupitia tafti zake kuelekea uchaguzi mkuu 2020 yamebaini kwamba Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli atashinda uchaguzi huo kwa urahisi huku vyama vya upinzani vikifanya vibaya mno. "CCM will continue to dominate the domestic political landscape while benefiting from a weakining opposition, as shown by the defection to CCM of several opposition members of parliament "

Miongoni mwa sababu zilizotajwa kusababisha Rais Magufuli kushinda kiurahisi uchaguzi huo ni pamoja na CCM kuwa ni chama kilicho na muundo mzuri ulioenea na kuungwa mkono hadi vijijin, mapambano dhidi ya rushwa pamoja na mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yaliyotekelezwa na Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza.

Kutokana na credibility ya taasisi hizo kimataifa pamoja na mambo ambayo Rais ameyafanya yanayoonekana kwa macho Kama ununzi wa ndege kubwa na za kati za kisasa, ujenzi wa SGR, elimu bure, kupambana na ufisadi, kuongeza bajeti ya dawa za binadamu, kusambaza umeme vijijini kupitia REA Kama mtanzania nisiendeshwa kwa mihemko ya kivyama nashawishika kuamini ubashiri wa EIU na Fitch solutions ni wa kweli na utatimia 2020. View attachment 990021
This is what we have been saying all along.
Apart from opposing whatever present governments are doing/implementing, Opposition parties have no viable alternative option to offer.
Immediate after 2015 election, i implored them sit down and critically analyse their weaknesses and strengths with the view strategizing on way forward instead of unending processions and complains.
If i were in the opposition, i would have been concentrating on increasing number of MPs in the Mjengo.
This would have been more advantageous if at the end of the day the achieve 50/50 ratio.
CUF were on the brink of achieving this and instead of consolidating the win, they decided to boycott the whole election to their own peril to appease their chairman who in my opinion has lost his shine and is still bathing on the past glories.
 
AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
1,654
2,000
Toka lini tafiti za mabeberu zikawa sahihi???
Hao mabeberu haitakii mema inji yetu.
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
508
500
It doesn't stop opposition to get organised. It would take ages for opposition to win if the current status quo doesn't change.
This is what we have been saying all along. Apart from opposing whatever present governments are doing/implementing, Opposition parties have no viable alternative option to offer. Immediate after 2015 election, i implored them sit down and critically analyse their weaknesses and strengths with the view strategizing on way forward instead of unending processions and complains. If i were in the opposition, i would have been concentrating on increasing number of MPs in the Mjengo. This would have been more advantageous if at the end of the day the achieve 50/50 ratio. CUF were on the brink of achieving this and instead of consolidating the win, they decided to boycott the whole election to their own peril to appease their chairman who in my opinion has lost his shine and is still bathing on the past glories.
upinzani hamna kitu kazi yao kudandia mada kila siku mtandaoni wakati Serikali iko bize kufanya mambo makubwa.
Nashindwa kupata jibu ninapokutana na mchango kama huu wako. Unafurahisha baraza? Au huyu ndio wale wenye akili za akili ni nywele? Au ni akili isokuwa na akili? Viongozi wa upinzani wamo mahabusu au kila siku kiguu na njia kwenda mahakamani au kuripoti polisi. Wengine marehemu, wengine mateka na wengine wamenusurika kifo. Bado kuna mtu anatoa andiko kama lako kulaumu upnzani? Akili kuduhu. Mikutano ya wanasiasa ya ndani na nje imepigwa marufuku kwa wapinzani tu. Siasa haifanyiki. Wanachama wapya ndoto. Wazamani wananunuliwa. Mambo unayosema hayafanywi na vyama. Hata chama tawala hakifanyi hayo. Hakuna chama kinachojenga madaraja au kujenga shule. Hakuna. Serikali inayokusanya kodi ndio ina wajibu wa kufanya hayo. Serikali inazaliwa na chama kimojawapo au mseto wa vyama kadhaa. Ikiishaundwa ni serikali ya wote kwa niaba na kwa ajili ya wote. Inaendesha mambo yake kiserikali na sio kichama tena. Kwa wanaojitambua utajua tu kuwa yuko kazi za chama au serikali. Serikali inawajibika kwa raia wote kupitia wawakilishi wao. Inakusanya kodi kwa wote, hivyo na maendeleo kwa wote. Haitatokea chama kimoja kinajenga zahanati kijiji fulani na chama kingine kinajenga daraja manispaa fulani. Itakuwa ni vurugu. Watatumia raslimali gani? Michango ya wanachama wao? Hakuna chama kinachokusanya kodi. Wala serikali haikusanyi kodi kwa niaba ya chama. Hapo ndipo nashindwa kuelewa andiko la hovyo kabisa kama lako. Hakuna akili tuijuayo iliyotumika hapo. Akili isiyo akili!
 
Shigganza

Senior Member
May 24, 2018
158
500
Kaongea ukwel cuz tangu uchaguzi uishe sijaona kazi inayoonekana ambayo iupinza umefanya zaid ya kuvizia miradi mikubwa ya maendeleo kama SGR, elimu bure, ununuzi wa ndege n.k tufahamishe kazi zilizofanywa na Upinzani pengine wengine hatuzioni

Ni kweli pekee ndio itatuweka huru. Wakati kama huu ndio wa kukua na kuonyesha kama kweli wapinzani wanastahili. Vinginevyo watasahaulika kabisa. Kusema hivyo sio sababu nawadharau au siwapendi....but a reminder that anything worthy celebrating has a price tag
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
5,696
2,000
Kaongea ukwel cuz tangu uchaguzi uishe sijaona kazi inayoonekana ambayo iupinza umefanya zaid ya kuvizia miradi mikubwa ya maendeleo kama SGR, elimu bure, ununuzi wa ndege n.k tufahamishe kazi zilizofanywa na Upinzani pengine wengine hatuzioni
wewe msengerema upinzani wanakusanya kodi???????
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,475
2,000
Nashindwa kupata jibu ninapokutana na mchango kama huu wako. Unafurahisha baraza? Au huyu ndio wale wenye akili za akili ni nywele? Au ni akili isokuwa na akili? Viongozi wa upinzani wamo mahabusu au kila siku kiguu na njia kwenda mahakamani au kuripoti polisi. Wengine marehemu, wengine mateka na wengine wamenusurika kifo. Bado kuna mtu anatoa andiko kama lako kulaumu upnzani? Akili kuduhu. Mikutano ya wanasiasa ya ndani na nje imepigwa marufuku kwa wapinzani tu. Siasa haifanyiki. Wanachama wapya ndoto. Wazamani wananunuliwa. Mambo unayosema hayafanywi na vyama. Hata chama tawala hakifanyi hayo. Hakuna chama kinachojenga madaraja au kujenga shule. Hakuna. Serikali inayokusanya kodi ndio ina wajibu wa kufanya hayo. Serikali inazaliwa na chama kimojawapo au mseto wa vyama kadhaa. Ikiishaundwa ni serikali ya wote kwa niaba na kwa ajili ya wote. Inaendesha mambo yake kiserikali na sio kichama tena. Kwa wanaojitambua utajua tu kuwa yuko kazi za chama au serikali. Serikali inawajibika kwa raia wote kupitia wawakilishi wao. Inakusanya kodi kwa wote, hivyo na maendeleo kwa wote. Haitatokea chama kimoja kinajenga zahanati kijiji fulani na chama kingine kinajenga daraja manispaa fulani. Itakuwa ni vurugu. Watatumia raslimali gani? Michango ya wanachama wao? Hakuna chama kinachokusanya kodi. Wala serikali haikusanyi kodi kwa niaba ya chama. Hapo ndipo nashindwa kuelewa andiko la hovyo kabisa kama lako. Hakuna akili tuijuayo iliyotumika hapo. Akili isiyo akili!
Nilichokuwa ninasema ni kwamba statistically wabunge wa vyama vya upinzani wamekuwa wakiongezeka kwa kasi nzuri tu. Kwa zanzibar ilifikia karibu 50/50 ukiondoa wale wabunge wanaoteuliwa na rais. Haya yalikuwa na maendeleo makubwa sana kwani inaeleweka kwamba anayethibiti bunge ndiye anayethibiti serikali.
Upinzani umekuwa ukikamia Urais kiasi wengine kutoana roho ambapo mimi sioni kama urais ni issue kwa sasa. Matarajio yangu ni kwamba kwanza wange consolidate ushindi huo na ku-strategise namna ya kuongeza viti hivyo.
Tatizo generation ya leadership upande wa upinzani ni kwamba umejaa uchoyo,uroho na umimi na ndiyo maana inakuwa vigumu kuwa na common strategy.
Kwa wale ambao wanasema nchi hii haina demekrasia, waangalie ongezeko la wabunge wa upinzani ambalo ni jibu halisi.
Suala la viongozi kuwekwa ndani, ninadhani upinzani unafanya makusudi kama sehemu ya strategy ili waonewe huruma lakini ukienda ndani zaidi utakuta wamefanya hivyo kwa utashi wao.
Mfano mzuri ni Mheshimiwa Mbowe, yeye ana kesi [kama ni ya kubambikiwa au la ni juu ya mahakama kuamua kama ilivyoamua kesi nyingine nyingi]. Amewekewa dhamana na kila inapotajwa yeye hua hayupo kwa visingizio kuwa anaumwa. Kwa vile dunia hivi sasa ni kijiji, mara tunapata habari kuwa jamaa yuko dubai. Kesi inaahirishwa zaidi ya mara 4 kwa staili hiyo hiyo halafu anaitwa tena na inaelezwa kuwa yuko mahututi na amepelekwa afrika ya kusini kwa matibabu. Kabla hatujakaa vizuri zinakuja taarifa kuwa jamaa yuko marekani [tena kwa ushahidi wa picha] akistarehe. Hapa mahakama ilitarajiwa ifanye nini? Hivyo iilibidi anyimwe dhamana na hii ndiyo hali tuliyokuwa nayo. Kwake yeye inaweza kuwa mtaji maana inamfanya ajione kama Mandela lakini kwa watu wa kawaida, wao wanaona jamaa anadharau mifumo ya sheria nchini.
Kwa bahati mbaya sisi wananchi kutokana na ushabiki wetu wa kisiasa tunashindwa hata kutumia common sense kuchambua mambo hayo na matokeo yake ni kwamba kama mimi kwa andiko natarajia kejeli, matusi na dharau.
Hebu tuwe na constructive debate kwenye mambo haya ili tuweze elimisha wenzetu.
 
Unatarajia kejelu, matusi na dharau. Wewe wasema. Tena umesema vyema. Unastahili. Unajitakia mwenyewe. Unaomba constructive debate! Unakimbia kujibu angalau robo ya mambo nilikueleza kuhusu vyama vya upinzani na siasa za JPM! Blah blah is no debate at all leave alone being constructive.
 
Hayo yote ambayo umekuwa ukieleza ni mambo yale yale[malalamiko kuhusu demokrasia] tangu vyama vingi vilipo ruhusiwa nchini[Kabla ya JPM] point yangu kubwa ni kwamba despite all this, opposition parties have consistently been winning parliamentary seats. This should have been consolidated and strengthen rather than dealing with petty issues.
 
Top Bottom