Recent content by J4EMMA

  1. J

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    tupeni updates wadau kile wanachokiongea..ITV hakuna kitu
  2. J

    Channel Ten Mada Moto: Falsafa ya Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere

    Katika simu zilizopigwa hapo 4..moja ya bwama malupu na tatu za huyu mama..kuna jamaa kapiga simu kamwambia angekuwa karibu angempiga na kofi huyo kijana kwa kushabikia ccm..watu wanahasira na ccm duh
  3. J

    ITV Kurudia Mkutano wa Lowassa Mwanza Leo Saa 10:15 Usiku

    kigunge kanifurahisha aliposema magufuli ana ahadi hizo...nyingi kama nini
  4. J

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    kahama mjini watu walikuwa wachache mno hata lembeli huwa anaujaza ule uwanja wa CDT...may be huko kwengine lakni hapa town vidole viwili
  5. J

    Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    hata huku kahama kuna bar fulani umeme ukikatika watu huenda kuangalia taarifa ya habari..yaani habari ya lowassa tu ikiisha watu wanatoka hata kama kuna habari zingne watu wanaishia hapo na kuanza kutoka
  6. J

    GE2015 Lembeli tumbo joto Kahama

    mimi nipo kahama mjini hapa...ukweli ni kuwa lembeli anarudi bungeni kwa kura za wananchi hasa alivyohamia chadema ndio amepata nguvu zaidi pamoja na uwezo wake wa kuzungumuza ukilinganisha na mpizani wake kishimba hana kabisa uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuahindi kujenga na kutekeleza ahadi...
  7. J

    Mtikisiko CCM Kahama, Kishimba atishia kujitoa!

    saiv naiona chopa ya vicenti nyerere na lembeli ipo angani inaenda vijijini kusaka kura...hawa jamaa wanaichija ccm huku kahama msalala na ushetu
  8. J

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    kahama wamekata umeme muda huu...sijui kwann.....huo mkutano mtupe updates kwa wale wenye umeme
  9. J

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    kahama wamekata umeme muda huu...sijui kwann.....huo mkutano mtupe updates kwa wale knee umeme
  10. J

    Asante Mh Lowasa Kwakutuelewa watanzania

    na ww unauwezo wa kujenga hoja????
  11. J

    Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

    uongo huu leo alikuwa kahama mjini amesema ataanzisha benki ya watu wa uchumi wa hali ya chini yaani bodaboda machinga mama ntilie na wengineo
  12. J

    Lema anajisifia kwa kazi ya Spora liana!

    amekurupuka huyu jamaa
  13. J

    2015: UKAWA kuwapa Usukani waliokatwa CCM, imekaaje hii?

    mchawi mpe akulelee mtoto wako
  14. J

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    huyu dr si aungane na akina mwakyembe na ccm wezao kama wana ushahidi waende mahakamani..wananchi tunajua kuhusu richmond na kwenda srar tv ni kutuchaganya wananchi...TUMESHAAMUA BORA LOWASA NA UKAWA KULIKO POLI LA MAFISADI YA CCM..TUTAKUCHAGUA LOWASA HIVYO HIVYO
Back
Top Bottom