Asante Mh Lowasa Kwakutuelewa watanzania

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Naomba niwe tofauti na wa waliowengi ambao hawana utamaduni wakutoa shukrani.
Ni vizuri mtu anapokosea akosolewe na anapofanya vizuri asifiwe.
Baada watanzania kupiga kelele,ni muda sasa Hatujashuhudia usanii kutoka kwa laigwanani hii ni ishara kwamba amejua tumeshamstukia.
Nafikiri usanii wa mwisho ulikua ni ule wakujifanya eti na yeye anatumia dalala baada ya ule wa maandamano kwenda kwenye mazishi ya mzee wetu kilimanjaro.
Naamini ameshafaham kwamba ulaghai wa aina hii hauna mpango.
Nina kila sababu yakutoa shukrani kwa laigwanani kwani hata msiba wa kijana wetu mpendwa Ndugu Mtoi kamanda na mpambanaji wa chama Sio tu kufanya usanii wa maandamano bali hata kuhudhuria mazishi hakufika kabisa.
Asante kwakutuelewe mh!
 
Hii nayo ni akili ya Mtz mwenye kuweza sogelea keyboard. Kweli tunahitaji mabadiliko angalau na type hii ipate nafuu kidogo. Kichwa kimejaa usaha badala ya ubongo
 
Naomba niwe tofauti na wa waliowengi ambao hawana utamaduni wakutoa shukrani.
Ni vizuri mtu anapokosea akosolewe na anapofanya vizuri asifiwe.
Baada watanzania kupiga kelele,ni muda sasa Hatujashuhudia usanii kutoka kwa laigwanani hii ni ishara kwamba amejua tumeshamstukia.
Nafikiri usanii wa mwisho ulikua ni ule wakujifanya eti na yeye anatumia dalala baada ya ule wa maandamano kwenda kwenye mazishi ya mzee wetu kilimanjaro.
Naamini ameshafaham kwamba ulaghai wa aina hii hauna mpango.
Nina kila sababu yakutoa shukrani kwa laigwanani kwani hata msiba wa kijana wetu mpendwa Ndugu Mtoi kamanda na mpambanaji wa chama Sio tu kufanya usanii wa maandamano bali hata kuhudhuria mazishi hakufika kabisa.
Asante kwakutuelewe mh!

We Fanya unafiki tu ila kura Kwa lowassa
 
Duuh pole sana
 
Zumbukuku wewe
 
Back
Top Bottom