Unazikubali story za vijana wa BAVICHA?
Katika majimbo ya kanda ya ziwa ambayo CCM wana uhakika ni pamoja na Kahama. Mark my word.
WATANZANIA WAMEAMKA SASA:CCM PEKEE NDIO TEGEMEO
1.-Wamegundua CCM hakuna UDINI
-Ukawa ni UDINI dhehebu la EL na Maaskofu 2 ndio VINARA wao
2.-Wamegundua CCM hakuna UKANDA
-Ukawa sasa UBAGUZI wa KIKANDA unashamiri sana.
3.-Wamegundua CCM tunaongozwa na SERA SAHIHI
-Ukawa ni MAHABA yasiyoeleweka,watu wanalipwa kuhudhuria
mikutano.
4.-Wamegundua CCM inafanya siasa za ki-staaarabu.
-Ukawa makundi ya FUJO yamejitokeza sana,hakuna ustaarabu.
5.-Wamegundua GESI,Utawala BORA utainua UCHUMI wetu
-Ukawa kuna Matajiri 5, watagawana NCHI ili kurudisha pesa
zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
FaizaFoxy kwanini nyinyi wanaccm mnapenda sana kusambaza propaganda za kuwagawanya watanzania,badala ya kutangaza sera zenu...shame on ccm. Kwani mikoa ya kaskazini hawana haki ya kuongoza nchi? Acheni uhasidi wa nyoka. Watanzania wanataka katiba waliyochagua sio porojo za chekechea
WATANZANIA WAMEAMKA SASA:CCM PEKEE NDIO TEGEMEO
1.-Wamegundua CCM hakuna UDINI
-Ukawa ni UDINI dhehebu la EL na Maaskofu 2 ndio VINARA wao
2.-Wamegundua CCM hakuna UKANDA
-Ukawa sasa UBAGUZI wa KIKANDA unashamiri sana.
3.-Wamegundua CCM tunaongozwa na SERA SAHIHI
-Ukawa ni MAHABA yasiyoeleweka,watu wanalipwa kuhudhuria
mikutano.
4.-Wamegundua CCM inafanya siasa za ki-staaarabu.
-Ukawa makundi ya FUJO yamejitokeza sana,hakuna ustaarabu.
5.-Wamegundua GESI,Utawala BORA utainua UCHUMI wetu
-Ukawa kuna Matajiri 5, watagawana NCHI ili kurudisha pesa
zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Wakuu hali ni tete jimbo la kahama mkoani Shinyanga. Mgombea wake ambae ni mfanyabiashara wa jijini Dar bw.Jumanne kishimba,ametishia kujitoa kuendelea na kampeni kutokana na ukweli kwamba hawezi kushinda!
Kishimba amelalamika kuwa ameachiwa kila kitu afanye mwenyewe na viongozi wa ccm wa wilaya na kata wanaambatana nae mchana,lkn usiku wapo kwa James Lembeli.
Tajiri huyo ambae pia ni mmiliki wa maduka makubwa ya imalaseko amegoma kabisa kuendelea kutapanya fedha zake wakati anajua hatashinda!
Wakati huo huo,mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chadema James Lembeli amechafua hali ya hewa ktk majimbo jirani ya Ushetu na Msalala kwa kufanya kampeni na chopa ili kusaidia harakati za ukombozi ktk majimbo hayo yaliyo chini ya halimashauri ya mji wa kahama.
Hilo ni tatizo sana,nadhani hata akina lembeli wamegundua hilo ndo maana wameongeza nguvu kubwa sana kumsaidia Isaya. Wasukuma wa maeneo yale wapo mchanganyiko na wanyamwezi ni vigumu kumpa kura mtu asiye na historia ya kuishi huko. Lkn inawezekana km chadema wataendelea na hii nguvu ya ushawishi waliyoiweka..!! Natamani majimbo yote ya kahama yawe chini ya upinzani..!Ushetu CHADEMA walimsimika Bw. Isaya Bukakiye (Mzaliwa wa Kabingo - Kakonko) huyu yuko sawa kwa maneno jukwaani na fedha. Hope kama Lembeli ataendelea kumsaidia anaweza kushinda