Ndoa sio lile tendo tu, yapo mambo ya ziada, Mfano
Kulea watoto katika maadili mema ya baba na mama ya kumpendeza Mungu.
Kuwapatia watoto elimu bora, mavazi malazi na makazi yawasaidie kwa maisha yao ya kesho.
kutengeneza mji wenu kuendeleza kizazi bora nk.
unadhan ukizaa zaa ovyo haya...
Hahahah wewe jamaa umenichekesha sana,umeandika kwa hisia sana.
sasa la kufanya.
-Toa zaka na sadaka ikiwa ni mkristo.
-Epuka kukopesha ukiwa kwenye biashara.
-Epuka wanawake.
-Acha kununua vitu ovyo ambavyo havipo kwenye mpangilio.
-Weka mikakati ya kukuza biashara kila siko sio uweke ukomo...
Hapo dada tafuta lugha nzuri isiyo elemea upande wowote umwambie awe mwanaume..ili ukiondoka usije jihis kuwa na hatia,huenda atakuelewa tumia tafsida usiweke lugha zitakazo mkwaza na kujenga chuki
Utakuwa unakosea kama hutojaribu kumshauri uone muitikio wake, nini tofauti ya yeye kuwa single na kuwa nawewe kama hata kushauri kama mwanamke shujaa unashindwa? Mshauri kwanza akigoma hapo sasa waweza chukua maamuzi.
Lakini pia kumbuka mpenzi wako ni x wa mtu,hembu pia tafakari kama atakuwa anapigiwa hesabu hizi...ukipata jibu basi tambua kuwa kama mlisha shindwana mkaamua kuachana,songa mbele na maisha yako ujenge familia yako,ukaisaidie jamii yako,miaka inaenda haitarudi tena.
lakini pia kuna mshahara wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.