Kuna chasses kule chin kwenye propela na difu ilipo ndo wamekutwa huko au ndan ya buti inapokaaa mizigoo? Kama ndan ya but kuna muhusika kawaingizaaa kama kule chin kabisaa cpat picha walikuwa wamejishkiza kwa stail gan maaana basi lenyewe Mghamba kwa kukimbia cjui ilo vumbi watakuwa wameshiba...
Ushamba co tusii ni sifaa ambayo unayoo so nmekusifiaa. Washuaa hawausiki humuu ukileta hzo utajutaaa. Watu wamefanya yao unaleta umbeaa narudia tena we ni mshambaa tenaa co photocopy ni wala turufuu wewe ni originally mshambaaa
Aseee we ni mshambaaa kwanzaaa uzi wako umeuandika kishambengashambegaaa kwan majina ya wahusika huyajui hadi kuyaandika ulivoyaandikaa? Watu wanafanya biashara wanapiga helaaa we kalagha baoo kaliaa kupayukaaa tuuu. Pyeeeeepyeeeee
Arushaaa eshimaa tuu ndo inatakiwaa ukijidai mbabe unajua karate utakula kisu ya koo ufie mbali. Ukijidai na kibastolaa utawahiwa na wenye SMG na ukitishia smg utaviziwaa tuu na we upewe kituako hakunaga kuoneana huku kwetuu tuliozoeaa wala hata hatuon shidaa tena sahv afadhali aman inazid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.