Recent content by J Lee

  1. J

    JamiiForums Tanzania BETWEEN MEN N' WOMEN,WHO CHEAT MORe?

    Tausi sio vyema sana kugenerolaiz mambo tambua kuwa wapo pia wanawake wanaotoka nje kwa tamaa tu kama na pia wapo wanaume wasiopenda kutoka nje.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mwanamke/Mwanamme nani anaeongoza kutamani kuoa/kuolewa?

    wote wanatamani hivyo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Advice

    Pole sana ndugu kwa hali mliyo na jitahid kuwa mvumilivu na mwaminifu kwa mwenzio, pia mwombe sana mungu amsaidie mumeo apate kazi mapema nuweze kurud tena pamoja.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa

    Binadam anaufaham wa mema na mabaya tofauti na wanyama. binadam na wanyama ni tofauti sana.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wapendwa.

    Pole sana ndugu najua unaumia sana, ila unapaswa kuchukua maamuz magumu lakini muhimu kwa mustakabal wa maisha yako, jambo sahihi kwa maisha yako kwa sasa ni ww kujiweka pembeni, kwan huyo mlikutana tu na upendo ukajengeka, usisononeke sana utampata mwingine mtakaye pendana zaid.
  6. J

    JamiiForums Tanzania ushuhuda

    Fikra sahihi potofu inaweza kujengeka kwa mtu kuanzia akiwa mtoto na kwa kuwa Mzazi ndiye mwalimu wa kwanza kwa mtoto ndiye anayepaswa kumjenga mtoto katika misingi mizur itakayo muongoza hata atakapokuwa mtu mzima.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nataka nimuingize mjini

    Sio vizur kumfanyia mwingine jambo ambalo usingependa kufanyiwa wewe.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Neno kuu la leo: Upendo haugawanyiki kamwe wana jf!

    Uko sawa kabisa mpendwa. Ila je wale wanafunga ndoa na wake zaid ya mmoja inakuaje?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dawa za nguvu za kiume

    mwanaume makini hana sabab ya kutumia hizo dawa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hili linanitatiza

    Pole sana mpendwa muombe mungu akupe hekima ya kutambua kinachoendelea na mumeo apate kurudisha upendo wake wa mwanzo kwako, jarib kujizuia usipate hasira kwa hilo, tumia busara na hekima kuzungumza naye. ila mwamini mungv kwan hakuna linalo shindikana kwake.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wakubali mashujaa wa HAKI kupewa HESHIMA za mwisho viwanja vya NMC kesho!!

    Chanzo chao ni yule mnajimu mkuu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania unamuombaje Penzi mwenzio

    Duhi unabaka mkuu?
  13. J

    JamiiForums Tanzania majina ya wasichana

    Mama dada shangazi bibi
  14. J

    JamiiForums Tanzania majina ya wasichana

    Aiseee??
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini unaogopa kuoa au kuolewa?Unajua nini maana ya Ndoa?Biblia inasemaje?

    Mkuu nashukuru sana umetoa somo zuri sana naamini utasaidia wengi sana, hakika ubarikiwe.
Back
Top Bottom