Subiri source itatolewa kesho kutwa na magazeti ndipo uhudhurie.Naomba nijulishwe source please, Nahitaji ksafiri leo toka Dar kuja Rausha kuhudhuria kama mashujaa wataagwa hapo NMC. Tafari source please.
Subiri source itatolewa kesho kutwa na magazeti ndipo uhudhurie.Naomba nijulishwe source please, Nahitaji ksafiri leo toka Dar kuja Rausha kuhudhuria kama mashujaa wataagwa hapo NMC. Tafari source please.
Taarifa za kiintelijensia feki ya polisi huwa zinakuja jioni
Wewe Alberto? Nakupiigia tangu Jana sikupati, ndo nimetua KIA
Nakupigia na airtel hupokei!!!
Amen!
Matangazo ya live ya dharura, yanaweza kufanyika Dar es Salaam na Mwanza tuu, kwa DAR ni TBC na Mwanza ni Star TV, ndivyo vituo pekee vyenye OB Van ya TV.Nguo nyeusi ni dalili ya majonzi,zivaliwe kama huna funga kitambaa cheusi kama ishara ya msiba huu mkubwa. Na hivi gharama ya matangazo ya TV live kwa hata masaa mawili ni kiasi gani? Chadema hawawezi wakagharamia katika kituo kimoja ili waTZ wote waone nini kinafanyika huko Arusha? utakuwa ni ujumbe tosha kwa nchi nzima. Maana habari nyingi hata nyeti kama hizo zinachakachuliwa sana na ujumbe unafika tofauti na original message.
Asante kwa ofa ya usafiri
Kitendo chako cha kiungwana na kishujaa kuhudhuria mazishi ya mashujaa wetu kutoka Dar es Salaam ni lazima kiungwe mkono!! Ni faraja kwetu tulioko Arusha na pia fundisho kwamba katika maisha ni lazima kujitoa ili maendeleo ya kweli yaweze kufikiwa!! Karibu sana Arusha na JF imekuwa kiungo muhimu sana cha kufanikisha kukutana kwetu! Wana JF wengine tuwasiliane zaidi kwani lazima tulete mabadiliko ya kweli!!
Nguo nyeusi ni dalili ya majonzi,zivaliwe kama huna funga kitambaa cheusi kama ishara ya msiba huu mkubwa. Na hivi gharama ya matangazo ya TV live kwa hata masaa mawili ni kiasi gani? Chadema hawawezi wakagharamia katika kituo kimoja ili waTZ wote waone nini kinafanyika huko Arusha? utakuwa ni ujumbe tosha kwa nchi nzima. Maana habari nyingi hata nyeti kama hizo zinachakachuliwa sana na ujumbe unafika tofauti na original message.
taarifa kutoka kwa mwenyekiti wa wilaya wa chadema arusha ni kwamba polisi 'wamekubali' ibada pamoja na duwa kuwaaga mashujaa waliofariki kwa kupigwa risasi na polisi tarehe 5-01-2011 ifanyike kesho jumatano kwenye viwanja vya nmc arusha. Taarifa rasmi za ratiba ya ibada na dua zitaendelea kutolewa ili kila mwenye nia ya kushiriki aweze kushiriki!
Thats good,Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Wilaya wa CHADEMA Arusha ni kwamba polisi 'wamekubali' ibada pamoja na duwa kuwaaga mashujaa waliofariki kwa kupigwa risasi na polisi tarehe 5-01-2011 ifanyike kesho jumatano kwenye viwanja vya NMC Arusha. Taarifa rasmi za ratiba ya ibada na dua zitaendelea kutolewa ili kila mwenye nia ya kushiriki aweze kushiriki!
Mmewadanganya marehemu kuwa wao ni mashujaa, hakuna mashujaa ambao wanakufa kwa kugombea kupewa kiti cha umeya.
Mmewadanganya marehemu kuwa wao ni mashujaa, hakuna mashujaa ambao wanakufa kwa kugombea kupewa kiti cha umeya.