Yote uliyoropoka si kweli na ni ujinga wako! Demokrasia ni ushirikishwaji wa wananchi katika maendeleo ya nchi yao! Kiongozi ukishindwa kuwashirikisha wananchi wenzako katika ujenzi wa nchi yao lazima upingwe vikali iwe kwa maneno au maandamano na hata kuuawa!
Mahakama Tanzania iko mfukoni mwa serikali! Ikifanya fyoko itanyimwa fedha za kujiendesha.
Pili kwa kuwa serikali inaendeshwa kichawi kamwe haiwezi kukubali mambo yake yawekwe hadharani! Giza na mchawi ni sawa na inzi na kinyesi!
Askari Polisi wanne wa Tanzania wanashikiliwa nchini Malawi baada ya kuvuka mpaka kwa lengo la kuwakamata wahalifu.
Askari hao walikuwa na gari aina ya Toyota Landcruise pickup ambalo limeharibiwa na wananchi. Kuharibiwa kwa gari hiyo kulitokea baada ya polisi hao kulitelekeza wakiwakimbia...
Nimemshangaa sana huyu kijana wa ITV kutoa taarifa ya uongo kuwa mahakama imeweka utaratibu wa idadi ya watu wanaopaswa kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake.
Usahihi ni kuwa waliokuwa wameweka utaratibu huo ni Kingai RPC wa Kinondoni ambaye ni shahidi wa Jamuhuri katika kesi...
Pumbavu nimuheshimu kwani mama yangu huyo! Yeye ni mtumishi kama wengine akituzingua naye atazinguliwa! Halafu wewe ndiye unajipotosha wengine tumemsikia live!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.