Recent content by iyabo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM, umekifikisha chama mahali pabaya

    mulizeni kingunge awambie mliko kosea wandugu wa ccm
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM Tunachukiwa!

    kama kweli mnataka kukiokoa chama mpeni nape likizo bao la mkono limekwaza wengi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM Tunachukiwa!

    Mkiotaka kuokoa chama mwondoeni nape madarakani
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    magufuli kipindi cha babu wa loliondo alienda kunywa kikombe alikunywa kama chai au naye mgonjwa tuu?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    magufuli kipindi cha babu wa loliondo alienda kunywa kikombe alikunywa kama chai au naye mgonjwa tuu?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    mi nina vocha mbili za airtel nimenunua feki nikiingiza wananiambia hizo number hazipo hu c wizi jaman au kuna makampuni tofauti yanayotengeneza vocha za airtel?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali juu ya Vijana wasomi wasio na Ajira

    wazo zuri sana ila wasiwasi wangu ni kwamba inaweza fika mahali haya makampuni yakaacha kuajiri coze watakuwa wanategemea tu mavolunteers sababu kila mwaka watakuwa wanachukua watu wanaotafuta uzoefu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nikipewa mil 50 naacha kazi na vyeti vyote nachoma moto

    made in china:deadhorse:
  9. I

    JamiiForums Tanzania Huyu mtangazaji wa redio Free Afrika yupo wapi kwa sasa?

    yupo mmoja anachambua magazeti hajui kiswahili neno'' katika '' analitamka karika na anarudia mara nyingi ananiboa
  10. I

    JamiiForums Tanzania Clouds TV/FM wanadharau walimu

    siku zote mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe kila siku mnawasema clouds tv mbona kuna stesheni nyingine wanaboa hamuwasemi?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai hajui idadi ya watoto alio nao wala idadi ya wake alionao

    ni handsome ingawa ni mzee
  12. I

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

    huyu gwajima??????? nyakati za mwisho hz
Back
Top Bottom