Clouds TV/FM wanadharau walimu

Clouds TV/FM wanadharau walimu

Mkuu, hao hawajaanza kudharau walimu leo, hasira zao za total failure wanapelekea walimu, fuatilia sababu ya kufikia hicho kibarua, trace tu ufaulu wao tangu primary utakupa ushahidi, IQ ZAO BWANA, IZ BELOW ZERO ACTUALLY...
 
Ni kweli kabisa. Kwa nchi kama Tanzania mtu aliyefaulu vizuri toka akiwa shule ya msingi, sekondari na chuo kikuu hawezi kuwa mtangazaji. Kama wanabisha hao wa clouds waweke CV zao za madarasa, vyeti na miaka hapa. Aibu yao.
 
Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.

Tatizo lenu mleta mada na baadhi ya wengine mmekurupuka ...je mmefuatilia tukio lililotokea pale mwananyamala shule ya msingi...kati ya mwalimu mkuu na mzazi je kitendo alichofanyiwa yule mzazi na mwanae ni haki...?? Hebu wekeni pembeni ushabiki wa channel huyu mwalimu ningekuwa mimi ningefia jela...kwa jinsi alivyo mnyanyasa huyu mzazi ambaye alienda kufuatilia risiti za michango pale shule....kwa kuwa serikali yetu imeharibu mfumo mzima wa uongozi...kitendo cha mwalimu mkuu kumsukuma yule mama nakudondoka chini kisha kuwatuma wanafunzi wake wamzomee na kumpiga mawe yule mama ni unyama na si maadili je hawa watoto si ndo kesho wataanza kuwashikia watu mawe na hata kuwapiga kisa tu mwalimu mkuu kawafunza sasa maadili yapo wapi...?? Hebu tufikilie kidogo na kufuatilia kwa umakini hili swala ndo mje kukoment...ila si mlaumu mleta mada kwani akuandika kipi na sababu..ya mada yake juu ya walimu .ni ngumu kwa mtu kuelewa mleta mada alikuwa na maana gani...samahanini kama nitakuwa nimekosea ila assume yule mama ni mama yako ungefanya nini...??? Asanteni.
 
Clouds ni kituo cha wapumbavu nashangaa msomi mzima anasikilioza clouds ....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hawana maadili wale jamaa,kwanza baraza la kiswahili linataka kuwafungulia kesi kwa kuongoza kuharibu lugha ya kiswahili bado tu wanaendelea kuzarau waalimu namna hiyo?

Wataanza na wewe kwanza kwa kuharibu kiswahili kwa kuandika "kuzarau" badala ya kudharau
 
Hiyo habari niliisikia tatizo lao kubwa ni kutoa comment kwa kitu ambacho huna uhakika nacho wakati kazi ya chombo cha habari ni kurusha kile kilichotokea na kuhoji kila upande kisha unaachia umma na mamlaka zinazohusika zifanye maamuzi lakini wao unaona kabisa mwelekeo wao ukoje. (habari inatengenezwa inaelemea upande mmoja ila hata mwalimu nae alichemsha kwa kuwaambia wanafunzi wamzomee mzazi hata kama kachemsha maana tunatakiwa tuwalee watoto kwa misingi mizuri ya kuheshimu wakubwa hata kama wengine wame-data na pindi watakapokua itawajenga kuwa na uvumilivu pindi wanapokutana na watu wa aina tofauti tofauti)
 
He mleta mada je uliona tukio Zima? Au kwa kuwa ni Clouds wameripoti ndio unawasema hivyo.? Kama Great thinker nadhani tunawajibu wa kuwa neutral! No matter nani karipoti kitendo alichoana mwalmu Mkuu ni cha kiuaji!!!!!! Je ulimuona mtoo wyule mama baada tukio? No this is not acceptable in Tanzania! N j ulisikia huyu mmaaikuwa anapeleka nini? Michango ya kulipalimnzi! Jukmu hili ni laserekali! Lkn mama wa watu kwa hali yake aliyoayo kapeleka huo mchango! Return yake ndio hiyo. (Siungi mkonoabia mbaya yoyote aiyoonyesha yule mama\) Lakini\ML mkuu hakupwa hata u kukiri unyama aliouanya!

Mkuu samahani sana, it's too personal lakini naomba kujua, umesoma shule ya msingi hapa hapa Tanganyika ama?
 
Mmmhh!!! Huu uandishi.....
 
siku zote mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe kila siku mnawasema clouds tv mbona kuna stesheni nyingine wanaboa hamuwasemi?
 
Tatizo lililopo hapa mleta mada mwalimu naona conflict of interest na ndo inayomsumbua Mwalimu Mleta mada
 
Tatizo lenu mleta mada na baadhi ya wengine mmekurupuka ...je mmefuatilia tukio lililotokea pale mwananyamala shule ya msingi...kati ya mwalimu mkuu na mzazi je kitendo alichofanyiwa yule mzazi na mwanae ni haki...?? Hebu wekeni pembeni ushabiki wa channel huyu mwalimu ningekuwa mimi ningefia jela...kwa jinsi alivyo mnyanyasa huyu mzazi ambaye alienda kufuatilia risiti za michango pale shule....kwa kuwa serikali yetu imeharibu mfumo mzima wa uongozi...kitendo cha mwalimu mkuu kumsukuma yule mama nakudondoka chini kisha kuwatuma wanafunzi wake wamzomee na kumpiga mawe yule mama ni unyama na si maadili je hawa watoto si ndo kesho wataanza kuwashikia watu mawe na hata kuwapiga kisa tu mwalimu mkuu kawafunza sasa maadili yapo wapi...?? Hebu tufikilie kidogo na kufuatilia kwa umakini hili swala ndo mje kukoment...ila si mlaumu mleta mada kwani akuandika kipi na sababu..ya mada yake juu ya walimu .ni ngumu kwa mtu kuelewa mleta mada alikuwa na maana gani...samahanini kama nitakuwa nimekosea ila assume yule mama ni mama yako ungefanya nini...??? Asanteni.

Nakuunga mkono aslimia 100% ambao hamkunielewa basi nlichomaanisha ni hicho hapo juu!
 
Mkuu samahani sana, it's too personal lakini naomba kujua, umesoma shule ya msingi hapa hapa Tanganyika ama?

Ndio Mkuu, Tangayika, Dare- Es-Salaam – S/M- Chang’ombe,Sekondari- Forodhani. Tatizo ni laptopyangu Mkuu sijui kitu gani kimeingia kwani nikiandikia kwenye Microsoft word haina shida kwenye JF majanga. Nimeamua kuchapia pembeni ndio nakopy JF. Samahani kwa niliowakwaza.
 
Back
Top Bottom