Recent content by Iven

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

    Kufukua tuu makaburi huku
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikataa nisimuoe kisa ualimu

    Kuna kitu inabidi tujue kwenye maisha kuna vitu ukivipita hamna kuvirudia tena. Kwahio unataka umuumize akupendae kwa kwenda kwa aliekuumiza.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

    Mhh kwahio kuna watu wakija kukuomba kitu ukagoma kukubali ombi lao kuna kitu kitakukuta Mbona kama Membe anafosiwa kusamehe Musiba alipe kwanza ndio aanze kuomba msamaha ndio itajulikana kweli anajutia kosa lake sio kama saizi anavyojaribu kuomba msamaha ili kulinda mali zake.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

    Nafuta kiswahili mambo gani ya kusoma kwa lugha ya kiswahili darasa la kwanza hadi la saba huku nasoma kiingeleza kama somo na bado kinatutoa knock out alafu mara paah form one masomo yote nasoma kwa lugha ya kiingeleza kutesana tuu huko
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

    Kuna watoto ni watundu na wakorofi pia ila kuwa hivyo tusiwalaumu sana bado ni watoto inabid tujitahid kuwaonya pale tunapoona wanafanya sio Mtoa mada umeshindwa kumkataza mtoto wa kaka yako kufanya jambo fulani Huko kwa kaka yako unakuwa mgeni kiasi hicho huyo kuwa kaka yako maana yake huyo...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    hahahah
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

    Pole ndugu ndio masaibu ya dunia, Kwa mtazamo wangu naona mkeo anaenda kuliwa na wewe kuharibu formation kwa kumkatalia kutoka sio mbaya ila jua kama ni kweli amedhamiria kufanya hivyo na hapo ndio tatizo lazima atakuja pata nafasi ya kuchepuka Unaweza kupitia simu yake ila lazima atakuwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    01:27
Back
Top Bottom