Recent content by ivanylazaro

  1. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hatari sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Siku nikigundua hata Kama umezeeka ndo mwisho wa Mimi na ww sintataka kukuona tena. Sent from my Nexus 6 using JamiiForums mobile app
  3. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Nikigungua ndo talaka yako. Sent from my Nexus 6 using JamiiForums mobile app
  4. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Waislamu waitikia kauli ya Lowassa, waijia juu serikali kuhusu mashehe wa uamsho

    Naimani tutafika ila yatupasa tutumie busara sana kwa kauli za wanasiasa na viongozi wa dini maana kila mmoja na mtazamo wake na uwezo wake wa kupambanua Mambo. Sent from my Nexus 6 using JamiiForums mobile app
  5. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Polisi fanyeni kazi yenu, hawa wanaoropoka wakamateni ili kusudi waisaidie polisi

    Mmmmmmmh.... Sent from my Nexus 6 using JamiiForums mobile app
  6. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Humu ndani kumepoa sana

    Ana mgwila kaka.
  7. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

    Sasa diamond Kiki ya nn?
  8. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Tuliowaamini nakuwapa dhamana ya kuhakikisha swala la kusimamia hakia nap wamekuwa wanasiana Sasa Kila kitu kimekuwa ni siasa tu, yatupasa sana Tuwe makini maana watetezi ni wachache na waaribifu ni wengi lazima tuujue ukweli ndio tuseme Jambo Ila sio kwakuwa flani kasema maana hata Hugo...
  9. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Hayo yote hayasaidii jamii sio gwajima, Bashite Wala diamond na Kayla Manisha ya Kila siku huwezi kujua mipasho hadi uwe unaskiliza au unafuatilia so tufanye yanayotuhusu tusicheze ngoma ya watu wengine, tunamengi yakufanya zaidi ya haya tunayoyashabikia Kila kukicha.
  10. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa viroba: Konyagi waanza kufunga virago?

    Acha vitishonendavkonyagi kaangalie watu wangapi hawana kazi, kuna mashine imeletwa mpya imefanya kazi miezi miwili tu leo wanaipeleka wapi? Acha vitisho wewe.
  11. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Msumbiji inafahamu Tanzania ina Wasumbiji haramu wangapi?

    Sisi tukiwafukuza kwa muda wa wiki moja idadi itakuwa mara nne ya hao watanzania ambao wamefukuzwa msumbiji maana mitaani wamejaa.
  12. ivanylazaro

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Busara itumike na umakini wa hali ya juu katika hili.
Back
Top Bottom