Recent content by ivanor kababu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Umeme ushawaka jamani
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    MTU hataishi kwa mkate tu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Daaaa hali zilikuwa ngumu jamani
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Then ni bora wawe wanatoa taarifa mapema kwamba mshahara utachelewa watu wajibane mbna tanesco huwa wanatoa taarifa ya kukatika kwa umeme Yale matambo yote ya tra kuvuka lengo la kukusanya kodi yameishia wapi?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Si mchezo
  6. I

    JamiiForums Tanzania Toyota Crests Gx 100 Inauzwa Milioni 3

    Kama upo serious Nina 2 na nusu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Toyota Crests Gx 100 Inauzwa Milioni 3

    Engine ni cc ngapi mkuu halafu nipigie picha ya bampa la mbele
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Bora kuwa mfungwa ulaya kuliko kuwa mfanyakazi wa serikali tanzania
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Namkumbuka sana kikwete jamani
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Kikwete utayaona ya Magufuli

    Magufuli shikilia button ivo ivo
  11. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Utaamini kuwa mwanamke huyu ni roboti?

    Linatumia umeme au
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

    Tatizo ni mpole sana na ile kauli yake ya wapigwe tu ndo ilimtoa kwenye ramani
  13. I

    JamiiForums Tanzania Wachina waburuzwa kizimbani kwa kukwepa kulipa kodi

    Kwa magufuli kila goti litapigwa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda, kutumia usafiri wa gari

    Kaenda na usafiri gani?
Back
Top Bottom