Recent content by ivan don

  1. I

    Yanga kutwaa kombe la ligi bila kufungwa

    Lengo la uzi huu mkuu ni kupata jibu tu kama unafahamu naomba unifahamishe namie maana maneno yamekuwa mengi sana, nitajie mwaka ambapo yanga walibeba ubingwa bila kufungwa ili tuweke sawa mambo huku mitaani
  2. I

    Yanga kutwaa kombe la ligi bila kufungwa

    Niende kwenye mada moja kwa moja, mitaani kumekuwa na majigambo baina ya watani wa jadi kuwa Simba endapo kama itamaliza ligi bila kufungwa hakitakuwa kitu kipya mbali na kwamba walishawahi kufanya hivo msimu wa 2010 ila pia Yanga wameshachukua ligi mara 2 bila kupoteza mchezo Naomba kwa...
  3. I

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Yani kila siku afadhali ya jana, nchi utazani inaongozwa na mganga wa kienyeji maana kila kukicha masharti yanakuwa magumu
  4. I

    Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

    Duhhh ata kama adui mwombee njaa ila hii ya Yanga inatia huruma, yani sub kuna wachezaji wawili tu na wimbi la wachezaji kuendelea kugoma linawezekana kuendelea kuongezeka Nina wasi wasi ata match ya shirikisho Yanga atakufa tena uwanja wa nyumbani maana wachezaji wanaodai mafao yao sidhani...
  5. I

    Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    Wachezaji wanazidi kugoma kucheza maskini kisa mafao yao wakiendelea hivi ata match inayofata ya shirikisho watafungwa nyumbani maana wachezaji hawana hari wala hamasa ya mchezo, hawa wanaocheza leo ni wale ambao hawachezi mara kwa mara hivo ata madai yao ni madogo
  6. I

    Special thread clinical officer 2018/2019

    Ndio unaweza maana kuwa na ufaulu wa mathematics ni sifa ya ziada tu ila sio core subject kwenye course za afya, ila pia ili upate nafasi itategemea na competition iliyopo endapo kama kutakuwa na wanafunzi wenye sifa kama zako ila wao wana pass ya mathe itabidi wao wapate wewe ukose maana wana...
  7. I

    DFG Universal Music watoa top 10 ya wasanii Bongo,Kiba ashika namba 5 nyuma kidogo ya Aslay

    Wao wanazani nasisi tuna utaratibu kama wao wa kuuza nyimbo, so the way msanii anavyotoa nyimbo nyingi kwa mwaka ndio anavyoingiza mkwanja mrefu Huku kwetu ni tofauti msanii kama aslay na nyimbo zake zote alizotoa mwaka jana ni kweli karibia kila mtanzania anazo ila hajazinunua ni kudowload tu...
  8. I

    Arsene Wenger kufundisha PSG ?

    Kocha wa dortmund wa zamani tuchel ndio anaenda PSG kuwa kocha wao mpya ila pia wanamtaka wenger akawe raisi wa club yao ili asaidie kwenye mambo ya financial
  9. I

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bora aanze oapina maana cech kawa na uzembe sana ambao mara nyingi unaigharimu team
  10. I

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Najua fika maandamano hayatakuwepo kutokana na ukweli kwamba watanzania sie hatujazoea mavurugu, tushaona mifano michache kwenye awamu hii ya uongozi ni fika kwamba risasi /virungu/kukamatwa/kumbamikiziwa case ni jambo la kawaida endapo tu watu watajitokeza kuandamana ila kiukweli Mange...
  11. I

    Mbeya city uzembe huu utawagharimu

    ila kweli mkuu
  12. I

    Mbeya city uzembe huu utawagharimu

    Hiyo sababu uliyotaja eti kama uthibitisho kuwa simba ilinunua match ni ya kijinga sana na haina mashiko, kwahiyo we uliamini kwakuwa Lipuli walicheza mpira mzuri kipindi cha kwanza ni lazima waendelee kucheza vile vile? Ndomana ya kuwa na kocha kazi yake ni kusoma mchezo na kubadili mbinu, na...
  13. I

    Yanga mnataka ushindi wa mezani Mbeya.

    Me mpira nimeangalia ila sijaelewa kilichotokea, maana ni vigumu kwa sisi tunaotizama kwenye luninga kuhesabu wachezaji wote uwanjani, sasa wengine wanasema aliepewa kadi nyekundu hakutoka na wengine wanadai kuna mchezaji aliumia na kutoka nje kwa ajili ya matibabu ila team yake ikamfanyia sub...
  14. I

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    World cup
  15. I

    Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

    Ndio hivo mkuu, ukiacha sifa yao ya kuwa Loyal fans hii ndio sifa yao ingine inayofanya wawe tofauti ya mashabiki wa Liverpool team zingine wakifuatiwa na mashabiki wa Arsenal nao kwenye kupiga kura wako vizuri
Back
Top Bottom