Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,062
- 282,563
Siku chache baada kocha wa Arsenal Arsene Wenger kutangaza kung'atuka , kuna uvumi kwamba huenda akajiunga na Mabingwa wa Ufaransa PSG.
Tayari PSG imetangaza kwamba kocha wake Unai Emery atang'atuka mwisho wa msimu huu .
Tuendelee kusubiri .
Tayari PSG imetangaza kwamba kocha wake Unai Emery atang'atuka mwisho wa msimu huu .
Tuendelee kusubiri .