Recent content by Ivan conspicuous

  1. I

    Januari Makamba, tulijua utakwama tu. Muda ni mwalimu mzuri!

    Swali zuri Sana; ndyo ajitokeze atuambie Kama bado anarekebisha mitambo.
  2. I

    Rais Samia ni kazi juu ya kazi, sasa Bei ya Mafuta inaendelea kushuka, Watanzania tutegemee neema ya kupungua kwa mfumuko wa bei

    Hii kasumba ya kusifiasifia watawala imekuwa sehemu ya maisha katika Tanzania ya leo. Teuzi uzingatia sifa na vigezo kwa hyo tukumbuke katika kujikombo hivyo vigezo haviepukiki japo kufahamiana kupo Kama kawaida!.
  3. I

    Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Umenena kamanda. Ni kujiokosha tu hakuna zaidi.
  4. I

    Serikali sisi wasomi hatuhitaji Mambo Mengi zaidi ya kuhakikisha lugha ya kingereza inafundishwa Kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu

    Education, technology, research and science in general. You have done; let mijamaa mingine ijidanganye sijui kiswahili sijui lugha gani! Kiswahili kinatumika wapi kama kwenye medani za kimataifa au Tanzania ni kisiwa kisichohitaji technolojia ya dunia?. Kuna mijitu inatengenezwa ili iaminishe...
  5. I

    Tuna Makumbusho ya miaka 5 lakini hatuna Makumbusho ya miaka 10

    Umewataja me awamu bila kuonesha legacy waliyoiacha!
  6. I

    Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    Ni yeye si mwingine. Anaandika kutetea ugali wake mwenyewe. Mafue bhana!.
  7. I

    Kabla ya kumlaumu Shujaa Maguful tujiulize lini CCM kilikuwa Chama cha Demokrasia? Lini Nyerere alishindanishwa kwenye Uchaguzi?

    Fumbo Cha Chacha Wangwe Ni fumbo kubwa kiongozi!. Wangwe alifariki katika harakati za kuonesha nia ya kutaka Kiti Cha uenyekiti wa ...............
  8. I

    Kabla ya kumlaumu Shujaa Maguful tujiulize lini CCM kilikuwa Chama cha Demokrasia? Lini Nyerere alishindanishwa kwenye Uchaguzi?

    Vyama vyote kwa Sasa viko kimaslahi zaidi!. Sauti ya Mbowe, Zitto, Tundu Lissu nan anajua n kwa nn iko kimya kwa kiwango Cha kutisha?. Wote wamelambishwa asali hadi matumbo yamevimbiwa kiasi Cha kushndwa kujenga hoja. Aise, JPM aliwabana Sana hawa wajenzi wa maslahi ya matumbo yao ila basi tu...
  9. I

    Kiwango kikubwa cha Kansa kanda ya Ziwa kiangaliwe

    Resources is a curse and not blessing.
  10. I

    Unyama wa kutisha Musoma

    Unaishi nchi gani wewe usiyoifahamu Kama ina Rais? Jijibu mwenyewe tafadhali. Rhetorical questions needs no answers.
  11. I

    Unyama wa kutisha Musoma

    Ndo sababu ya Wanawake kukatwa viungo by mwili au hii n nn hasa?. Ni lazima ukatili huu utokomezwe.
Back
Top Bottom