Ivan conspicuous
Senior Member
- Jun 19, 2022
- 103
- 83
Unaishi nchi gani wewe usiyoifahamu Kama ina Rais? Jijibu mwenyewe tafadhali. Rhetorical questions needs no answers.Ivi hii nchi ina Rais kweli!?
Unaishi nchi gani wewe usiyoifahamu Kama ina Rais? Jijibu mwenyewe tafadhali. Rhetorical questions needs no answers.Ivi hii nchi ina Rais kweli!?
Kwani haya matukio ni mara ya kwanza kutokea? Hujawahi sikia mwanamke alikatwa masikio yote kosa wivu wa mapenzi..Waziri Gwajima sasa ndiyo wakati wako kuonyesha unawajibika.
Tazameni unyama aliofanyiwa mwana mama na mumewe, waziri inabidi aanzie hapa. View attachment 2363793
Huo ni ubaguziKwani haya matukio ni mara ya kwanza kutokea? Hujawahi sikia mwanamke alikatwa masikio yote kosa wivu wa mapenzi..
Hukusikia jamaa kaua familia nzima Kisa wivu wa mapenzi?
Muwe mnaangalia na makabila ya kuoa na kuolewa.
Hakuna nnachoona aisee!!Wewe unaonaje?