Wewe lazima utakuwa unasukutuliwa sio bure!Kawaida hao wanapendana .....SASA UNAINGIA TARIME....
Yaani Sana na zaidi ya sanaKuoa kijijini ina maana kubwa sana.
jino kwa jino. nayeye akatwe mikono miwili na matiti mawili ndo itakaa sawaYaan ningekuwa hakimu au jaji ningehukumu uyo jamaa apate adhabu kama alivyomfanyia mwenzake au ikiwezekana zaidi ya hapo
Inahuzunisha Sana Tena Sana!. Mwanaume anamkata mwanamke kwa panga Kana mwanamke ana nguvu kushindana nae!. Huyu aliyefanya Kitendo hiki Cha kinyama hana tofauti na muuaji!. Sheria ifate mkondo wake kutokomeza unyama huu!. Inahuzunisha Sana.Waziri Gwajima sasa ndiyo wakati wako kuonyesha unawajibika.
Tazameni unyama aliofanyiwa mwana mama na mumewe, waziri inabidi aanzie hapa. View attachment 2363793
Kanda ya ziwa ndoa wanachukuliwa serious sana tofauti na huku ,yaani huko hata mtu ukikufumania na demu wake umeisha.😂😂😂huku kwingine drama kawaida na watu washajiandaa mapenzi ni mchezo mchafuDuh kafanya unyama sana
Kanda ya ziwa wanaume,wepesi sana
Kuumia kwenye mambo ya hisia za mapenzi
Wengine huku tukifumania msg,sim fureshhh tu mnapigana chini maisha
Yanaendelea...
Mambo ya kukatana mikono ya nini
Ova
Kila mwanadamu mwenye maumbile timamu amesikitishwa sana na unyama huuInahuzunisha Sana Tena Sana!. Mwanaume anamkata mwanamke kwa panga Kana mwanamke ana nguvu kushindana nae!. Huyu aliyefanya Kitendo hiki Cha kinyama hana tofauti na muuaji!. Sheria ifate mkondo wake kutokomeza unyama huu!. Inahuzunisha Sana.
Wanaijua thamani ya unyumba hao,inafurahishaKanda ya ziwa ndoa wanachukuliwa serious sana tofauti na huku ,yaani huko hata mtu ukikufumania na demu wake umeisha.huku kwingine drama kawaida na watu washajiandaa mapenzi ni mchezo mchafu
Hii jamii ya namna hii inayojali sana K kuliko uhai wa mtu ni ngumu sana hat Rais Samia apambane kiasi gani kuikomboa sio leo.Waziri Gwajima sasa ndiyo wakati wako kuonyesha unawajibika.
Tazameni unyama aliofanyiwa mwana mama na mumewe, waziri inabidi aanzie hapa. View attachment 2363793
Hakuna userious ni stress za maisha ya umaskini zinawafanya akili zao zote ku concentrate na K tu.Kanda ya ziwa ndoa wanachukuliwa serious sana tofauti na huku ,yaani huko hata mtu ukikufumania na demu wake umeisha.😂😂😂huku kwingine drama kawaida na watu washajiandaa mapenzi ni mchezo mchafu
StressUgumu wa maisha
Wewe unaonaje?Ivi hii nchi ina Rais kweli!?
Ndo sababu ya Wanawake kukatwa viungo by mwili au hii n nn hasa?. Ni lazima ukatili huu utokomezwe.Wanaijua thamani ya unyumba hao,inafurahisha