Recent content by itulika

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Nape yale ya akina akina Lipumba na kontena la visu Mahita hadi leo sitamsahau alivyo kunja ile sura kutuaminisha but hadi nakaribia kufa sijawahi sikia watuhumiwa walikuwa akina nani.! na yale ya ugaidi wa akina Rwakatare yaliishiaga wapi.?! maana ipo siku ukidhani watz tunasahau tena utakuja...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Kama una uhakika mimba ni yako mwambie akupe ukae nayo wewe maana shida yako si mtoto.!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Unajua hesabu wewe? Taja idadi hapa

    Hapo siyo swala la kujua hesabu bali ni suala la kuona
  4. I

    JamiiForums Tanzania Albino wazusha vurugu Ikulu ya Dar es Salaam Magogoni

    Aisee balaa yule balaa kumbe nao wanaweza kuua maana kuna dada kachimba mkwara wa kuua mtu pale.!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Kaka tatizo lipo kwako.! Unatafuta mchumbaa au unatafuta mke.?!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kware

    Nilijua tu nipo serious upon
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kware

    Unafuga mayai.?!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kware

    Umeyatoa wapi.?!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu ndani ya Chama

    "CHADEMA ni banadamu tu kama CCM na inawezekana kabisa tukichukua madaraka tukafanya vibaya kuliko hata ccm kwa sababu wote tumelelewa na mfumo ule ule mawazo yaleyale" HAPA NDIPO KIINI CHA MIMI KUKUONA KAMA UMECHEMSHA SANA. KWAMBA KWA HAYA WANAYO YAFANYA WATAWALA WA CCM CDM IKACHUKUWA MADARAKA...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

    hii sigara isiyo na jina ni mbaya sana.!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ambwene Mwasongwe (Mwamlenga)

    Hahahaaa shardcole umeniacha hoi sana
  12. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Dah.! pumnzika salama mzee naona umeamua kuingia msituni mapema kama ulivyo sema
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    yametikisa wapi na rungwe magharibi ipi.?! Wengine ndo makao yetu hapa
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    So ulimuingiza hilo tango.?!
  15. I

    JamiiForums Tanzania Siri ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya yavuja

Back
Top Bottom