Recent content by Itsi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kutoka Washington, USA: President Magufuli, Stop That Dam

    Hawana lolote hapo kuna maslahi yao wameona kuna mwelekeo wa kupoteza. Waache kutukatisha tamaa mradi utaendelea kama ulivyopangwa. Dr. Magufuli tuanakmuomba endelea kusimamia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi Watanzania tunahitaji maendeleo achana na fitna za mabeberu hawana nia...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu punguza ukali wa maneno, hujui utayekutana naye

    Hata magufuli aliwahi kuliongelea suala la madini yetu kuibiwa na wazungu. Lakini kwavile mliowachche hamumpendi na hampendi kile kizuri anachokifanya kwa sasa kwa Taifa mtajidai kuvaa miwani za mbao kwa makusudi kujidai hamuoni. Ukweli ni kwamba Mungu kamleta Rais Magufuli ambaye mara nyingi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu punguza ukali wa maneno, hujui utayekutana naye

    Lissu anapigania ACACIA na tumbo lake. Hana lolote amekosa uzalendo na imani kwa Tanzania na Watanzania kwa ujumla. Eti agombee Urais, kwani hii nchi ya vichaa kama watamchgua yeye. Mwacheni Magufuli achape kazi inawauma sana mkimuona anawatwanga makonde maadui wa Tanzania mkiwemo nyinyi...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaotafuta Uungwaji Mkono na Nchi za Magharibi Wanafaa kuwa Wasimamizi wa Rasimali za Taifa Letu?

    Hawafai hata kwa ubalozi wa nyumba kumi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Hapo magwanda ndo ulipo udhaifu wenu kuonyesha unafiki na usaliti hata kwa mambo yenye maslahi kwa Taifa. Sasa ww ulitaka watupangie eti kisa hatuwezi kutengeneza hata engine ya boda boda! Hivi haujui kama wao ndo walotufanya tusiweze hata kutengeneza hata engine ya boda boda? Hawa jamaa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Tanzania ni nchi huru yenye mamlaka ya kujiamulia mambo yake kwa maslahi ya Watanzania. Hao wajerumani inawezekana kuna interest zao watazipoteza endapo huo mradi utatekelezwa. Bunge la ujerumani limepata mamlaka lini na wapi ya kujadili na kutupangia Watanzania namna ya kutumia Rasilimali zetu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Tanzania ni Nchi huru yenye Mamlaka ya kujiamulia mambo yake kulingana na matakwa yake kwa maslahi yake. Unapoona mabeberu wanajaribu kuingilia maamuzi ya nchi nyingine basi ujue kuna interest wanaenda kupoteza hapo. Ukweli ni kwamba haiwezekani eti masuala ya Tanzania kuamuliwa nje ya Tanzania...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya kikao na Maseneta kuhusu North Korea, Marekani yashindwa tena kuamua kuishambulia

    Kwa hapo niwasifu maseneta na wenziwao kwa kushauri diplomasia kwanza. Siamini kwamba wameogopa hiyo miongoni mwa resistance managing techniques. Ikishindikana hiyo huyo mapanki atapigwa tu hakuna namna.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi BOT kwa wenye uzoefu kupitiza Idara ya Deposit

    Tafadhali soma nafasi zilizotangazwa.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Post za Uhamiaji 2015/2016.

    Ni juzi tu vijana wa Uhamiaji wamemaliza mafunzo kule Moshi. Ktk hotuba yake ya bajet ya mwaka wa fedha 2015/2016, Waziri wa MOHA pamoja na mambo mengine alisema Idara ya Uhamiaji itaajiri vijana 1,066 kwa mwaka huu wa fedha. Juzi niliongea na rafiki yangu yuko JKT alinambia Uhamiaji...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bot post za oktoba 2014.

    Mnamo 31 Oktoba 2014 BOT ilitangaza post za Administrative Officer III, Assistant Record Management Officers na nyiginezo. Naomba mnijuze wadau kama tayari watu wameshaajiriwa katika hizo post au la? Nawasilisha.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kawe: Kadi za uanachama wa CCM zinagawiwa kiholela na Kifuta jasho cha Tsh. 50,000

    Acha uongo kijana mdogo wewe!
  13. I

    JamiiForums Tanzania Disney international Consultancy kufungua tawi lake Zanzibar

    Habari zenu wana Jamiiforums. Hii ni kampuni inayotoa huduma za consultancy katika maeneo mbalimbali kwa taasisi za umma na binafsi.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri, mawazo na fikra

    ..
  15. I

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Naombeni msaada wana jf kuusu posts za tra ip kat yao ziliitaj bachelor ya law?
Back
Top Bottom